Mashallaah!
 
Barua Ndefu Kama Hii na Mariam Ba

Sentensi Ndefu Kama hii na Kafui Daughter [emoji16][emoji16][emoji16]


Ila nikupe hongera sana. Mwanaume aliyekutoa bikra ndiye huyo huyo amekuoa na hujaonja mwanaume mwingine. Hujui mambo ya vibamia na magobore. Ubarikiwe sana na Mungu Azidi kuibariki ndoa yenu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Duuh dudu imesimama ghafla [emoji2960][emoji2960]
 
Baba Omary[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wa singida wala sishangai....ni malaya sana
 
Barua ndefu Kama hii na Mariam Ba!!! Hii sentence Kama naikumbuka, itakuwa jina la kitabu
 
Naona athari za huu uzi zimeanza kudhihirika kwenye ulimwengu wa kawaida.

Leo asubuhi kabla ya kwenda kazini mke wangu akaniuliza, “Hivi mume wangu, mbona wanaume siku hizi mnarahisisha sana mambo?” Nikamuuliza kwa nini?

Akanionyesha majibizano yake na Jamaa. Aisee baharia amejichomoa akili kweli kweli, hazunguki yuko moja kwa moja kwenye mada.

Nikatamani kumwambia kuhusu JF, nikaona kwa hivi visa vilivyomo kwenye hii thread ataharibika.

Nikaishia kucheka na kumwambia, ndio awe makini Jamaa atakula kweli ....
 
Hahahaha.....Hii nimeipenda umekula kimasihara kweli kweli!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwana anataka kummega wife kimasiharaa
 
Hizi ndo za kula kimasihara kweli
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwana anataka kummega wife kimasiharaa

Hahaha, amesahau na yeye tulianza kimasihara. Pamoja na yote Mkuu itabidi ujiandae kisaikolojia.

Nikigundua Mabaharia wamepita naye kimasihara nitajua ni athari za huu uzi wako.

Itabidi tu meet in person tuongee kiutuuzima namna gani unilipe fidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…