Mkuu niliambiwa na Daktari katika Hospitali Rufaa ya Mkoa. Sasa kama na hizo hospitali za serikali unaziita uchwara hapo nakubaliana na wewe. Pia acha mawazo ya kishetani kwamba kila mtu anapenda hayo mambo ya kisamvu.
 
Mimi nimeongea kisayansi kuwa wale wanaokula kisamvu ni rahisi kupata,sasa huo ushetani uko wapi??..

Kwa mtaalamu wa Afya wewe mwanaume ukimwambia una UTI anakufikiria sana
 
Mimi nimeongea kisayansi kuwa wale wanaokula kisamvu ni rahisi kupata,sasa huo ushetani uko wapi??..

Kwa mtaalamu wa Afya wewe mwanaume ukimwambia una UTI anakufikiria sana

Mkuu nimekuelewa vizuri sana. Tatizo hao wenzenu ambao mpo sekta moja ya Afya wanatupoteza sana.
 
Huu Uzi sio wa mazingira hatarishi huu ni wa kula kimasikhara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah huu uzi sio poa ila nisiwachoshe wadau mi nahisi kifua kinanibana kishenzi mwenzenu usingizi nakosa na joto hilo linapanda na kibaridi hiki[emoji16]

All In All..Sio kila tunda unafanikiwa kula kimasihara sometyms unatumia efforts kibao na ukakosa kula tunda kiutani utani kama young d[emoji23]...

Nilishawahi kulipia lodge naingia nae anasema yuko Period na kuhakikisha ni kweli simba anacheza[emoji23]kiutani utani tu tukalala kama kaka na mjomba[emoji849]

Twendzetu[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…