[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna watu ni vichaa when it's comes to papuchi
 
Mwishon mwa Mwaka Jana nilienda iringa kwa ajili ya kula mwaka mpya, na kutoka mkoa ninaohishi mpaka iringa ni mbali kidogo kwa basi nilitumia zaidi ya masaa kumi, ile nimefika iringa mjin Rafiki wa tangu utoton anaishi huko akaniambia Twende mafinga ambako ndipo makazi yake na kwasabab sijakaa muda mikoa ya baridi ilinipa shida sana tangu Nipo iringa mjin,

Tukaenda mafinga siku ya pili yake na jamaa ndio mwnyej wangu nikafika kwake ila kwa kuwa anaishi na familia yake mi nikasema sitolala pale maana nilitaka nikapate vyombo kidogo na nikamwambia jamaa anipeleke sehem yenye watoto wakali akaniambia Poa, sasa jamaA kila sehem anaponipeleka ananitambulisha kila manzi ni shemeji yangu ( Yani ni manzi wake) nikawa simuelew nikaona ananizingua huyu badae akaniambia tukienda club ntapata manzi nikamwambia Poa.

Saa 5 na nusu akanipeleka kwa manzi yake mwingne sasa hii manzi ni kali alafu ina shop ya kuuzia vinywaji maeneo ya kule kule ila mitaa siijui, ile tunafika jamaa kanitbulisha ila manzi akajitetea pale pale kuwa yeye na jamaa ni marafiki tu, so nikaamua kuyaacha kama yalivyo,

FAST FORWARD, imefika mida ya sa 9 tumeshatoka club jamaa kanipeleka Kwenye geto nilale ambalo tumefika tumekuta mwana Kwenye ilo geto yupo na manzi pia, na hapo tupo na huyo manzi wa dukani ambae nae alikuwa amepewa lift arud kwake namm nimekosa manzi nikamwambia jamaa anipeleke lodge kisha yeye aendelee na mishe zake kisha tuonane asubuh, basi nimeingia Kwenye gari nimekaa siti ya nyuma yule manzi nae kaingia kakaa siti ya nyuma, jamaa kaingia kawasha gari akamwambia yule manzi akakae mbele manzi kagoma, though kulikuwa na ugomvi kidogo maana jamaa alitaka akamle yule manzi, manzi akagoma so manzi kakaza anataka akae namm siti za nyuma na manzi ni mzuri kinoma hapo kavaa mini tu, jamaa akawasha gari akamuache manzi ndio anipeleke lodge sasa ile tunaanza kwenda manzi akaanza niletea mdomo nikamla mate sana bila jamaa kujua, badae tukafika sehem kuna lodge barabaran nzuri tu manzi akamwambia jamaa mshushe hapa ile lodge nzuri akalale huyu mgeni wako, ila wakaniambia nikachek chumba kwanza kama vipo, nikaenda nikakuta vipo ilikuwa ni 15k tu, so nikatoka nje niwaage yule manzi akashuka akamwambia jamaa anaenda kulala namm so atupitie asubuh, daaahh jamaa alikasirika sana hata akutuaga yan kaamsha na speed za maana pale nje ya geti, nikapiga mzigo manzi siku ile kesho yake tukarud iringa mjin mimi na yule manzi tu nikakaa siku mbili nae zote lodge nikapiga mzigo, nikarud mkoa wangu nilotokea naona manzi akaanza kuleta mapenzi mengi japo atukukaa sana kila mtu akala 50 zake, nikamchek jamaa tukarud urafiki kama kawaida nikamuuliza kama kweli alikuwa manzi ake akaniambia ndio alikuwa anafukuzia [emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…