Pamoja na kufanya uhuni huo kwa mtoto wa pedeshee bado unaishi,,,,, kweli Mungu mkubwa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa inatokeaga hii bahati mbaya kula mke wa mtu

Ila Kama itatokea ukafanikiwa kula mke wa mtu Basi Sheria usirudie Mara mbili

"Mke wa mtu analiwa Mara moja tu"-sheria ya mabaharia ,kifungu Cha nane 3B

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

komesha korona
 
Thread ya How I met my wife, inanondo zinaendelea....in apage nyini tu mbele zaiid sijajua kuna nini ila nipo story ya NZI CHUMA starring mwingine huyu ...anatoa experience yake naye
Weka link mkuu ya nzi chuma hapa
 
Ngoswe, penzi kitovu cha uzembe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi umepoa nasema hivi "serikali ikiachia data mpya za covid 19,na miminimkulimaakachekasana naachia story yangu"

Sema watu watasema ni ya uongo kwasababu masihala yalizidi kawaida.
Kama hutatia uongo ,utaatusaidia , Ila ukianza kunogesha kwa uongo wazee wa viwango tupo kimya kimya , tutakubaini.

Binafsi uzi unanipa kampani Sana kipindi hiki cha korona , japo ukiniona live hutaamin Kama ndie mie nachangia humu

Dogo kaanzisha uzi ambao karibia kila mtu unamgusa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha wazee wa viwango hamtaki mchezo
 
mbeya van dame ni IRAMBA SEC NINI
 
Hongera kwakula tunda mali nono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanangu ana miaka 15 yuko form five
Boss 15 form five?
Master, teach me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…