Baada ya kusoma ilibidi nirudi juu kuangalia jiana kama ni mikito mikito [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Extrovert mkuu nipooo. Ilikuwa nafatilia hii JERUSALEMA ya huyu mamii master kg. Kweli wasouth hii In da house ni mabingwa. Mziki wao upo juu sana. Namlinganisha master kg na Busiswa wapo juu sana lakini ni dhahiri Ma DJ wa South Africa wanafanya kazi kubwa. Wa kwetu hapa bongo wanafeli wapi
 
Hongera ila nenda kwa uangalifu, wanajeshi siyo watu wazuri siku akikufuma, yan utaruka kichura, utabeba dunia, utakwepa roketi mixer na kupigwa pipe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama MD ana akili na yupo humu atakuwa ameshakufahamu. Ulipotaja branch ya Mbeya na Arusha ndio ulipounguza picha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kabisa Mbeya na Arusha ndio code zenyewe. Yaani haikuwa Mbeya wala Arusha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mbeya na Arusha (smoke surface) zimewekwa ili kupoteza lengo na wala hakuna branch usikute ni ofisi moja tu.
Wataalam watanielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa yangu kwani wewe unadhani waliopo humu Jf ni watu wa namna gani?
Ushawahi kukutana na member walau 10 tu wa Jamii forums?

Kupanga chumba na sebule ni kiasi gani mpaka unaogopa?

TV na sofa ni gharama kiasi gani mpaka unapata mashaka kwamba watu hawana vitu hivi?

Hivi ni vitu ambavyo hata vibarua tu wanamiliki.

Watu wameanza kupanga wakiwa mwaka wa kwanza chuoni. Sio ajabu mtu kuwa na sofa kutoka kwa fundi Jose.

Wapo tuliopata kazi hata kabla ya kumaliza chuo. Sasa TV na sofa ni mshahara wa mwezi mmoja.

Aidha hujui namna ya kupanga maisha yako au umeamua kuridhika na maisha magumu.

Nawafahamu vijana wanaoendesha bodaboda/bajaji ambao wamepanga chumba na sebule na kumiliki hizo TV na sofa.

Sasa nikueleze tu, nimewahi kukutana na wana Jf kadhaa na hawaishi kwenye chumba sebule bali apartment na wana maisha mazuri tu.
Humu ndani kuna watu wa levels tofauti sana. Kuna waliojenga, wenye makampuni, wenye biasahara kubwa na wanaomiliki vitu vya thamani. Kuna wenye maisha ya "uchumi wa kati" hawa ni wengi zaidi; kwao kumiliki TV na sofa sio tatizo, kupanga chumba na sebule pia sio tatizo kabisa.

Sasa wewe endelea kuangalia rafiki zako hapo mtaani kwako Kisha ndio ulinganishe na watu wa Jf.

Umaskini huu wa watanzania umetufanya tuukumbatie sana. Hakuna sifa kuishi maisha magumu ongeza juhudi, weka malengo na timiza malengo ili uishi vizuri.
Mindset ya kukumbatia hali ya umaskini ni mbaya kuliko umaskini wenyewe


Badilika ndugu yangu. Jifunze kutoka kwa watu. Naamini utafika wakati utamiliki vitu vyenye thamani zaidi ya TV na Sofa.

Inshallah.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante, mpaka hapa nadhani jamaa atakuwa amekuelewa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio ni ndoa moja kwa moja . Ila hapo wewe ndio umeliwa kimasihara kwa hio weka rekodi sawa
 
Daaah.

Kudadeki.
Hands up!!!!
 
Dahhh jamaa bwana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lini ulikula kimasikhara??

Lete kisa kiongozi
komesha korona
 
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Jaman mm ni mgeni humu JF
Lakn kusema kwel huu Uzi unatembea Sanaaa...
Yaan hadi umenishawish nimereplace huu uzi kweny basic needs ....😛😕

komesha korona
 
Umesomeka kiongozi
Hio ni ndoa moja kwa moja . Ila hapo wewe ndio umeliwa kimasihara kwa hio weka rekodi sawa
Daaah.

Kudadeki.
Hands up!!!!
We legendary ulipotelea wapi kwenye huu uzi? Au chai za mikito zilikukimbiza

komesha korona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…