Hapo we ndio umeliwa kimasihara tu, alishakuzimia siku nyingi lkn ukawa usomeki, ikabidi aende kukunywea ili aibu imtoke
 
Magheto ya wanawake siyo ya kwenda kujiachia ungepigia kwako lingekuja njemba linakukuta linaweza kukufanya vibaya pigia kwako hata kikitokea chochote unakuwa unajiamini.
 
***** nimecheka nusu nizime

Sent using Jamii Forums mobile app
 

hawa jamaa wanachezea playstation barazani[emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
...Episode 1
Kipindi niko chuo,siku tukatoka na wana kuruka kwanja..asa niko zangu kwa dance floor kuna binti ilipita ikawa ina smile huku ananiangalia...Na Ndovu zangu kadhaa kichwani nikamuita naa karespond freshy kabisa..nikamwbia twende tukaongee njee...hakusita,tukatoka tukaenda kwenye ngazi nyuma ya eneo la tukio...hata sikuongea nikamkiss akawakaa akavua mwenyewe..
Nikapiga pump kama kumi kuna boya likaja kuharibu linajifanya linaangalia usalama..Mtoto akavaa chap na kuondoka...Hatukuachiana contacts

Jinsi Clubs zinavojaa Machangu- Wajasiriamali... hili ni jambo la kawaida


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo baharia uliuza mechi sio ?
 
Sema kweli jamani [emoji847]
 
Shaka ondoa kuna korona awezi kwenda.

Mkuu kwa hiyo madevu alitawala possesion tuu wewe ukashinda mchezo. Hahaha hongera.

Ila ndomu hukukumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahaha pongezi za dhati ziifikie korona popote ilipo, kufa kufaana....

Yaah Mr Mandevu aliongoza possession na ilionekana muda wowote ataweka mpira kimiani, ila ile counter attack iliyofanyika kunako dakika za lala salama ilimuachia maumivu makali watu tukanyanyua makwapa tukasepa na kombe.

Ishu ya ndomu aisee hiyo tuijadili kikao kitakachofuata... ilinipa mawazo mengi Sana ila tulilimaliza Hilo, we are safe
 
Hahahaha haya mambo huwa hayatokei mara kwa mara... Kuna siku nilikaa siti moja na mrembo wa hatari halafu yupo charming balaa hiyo ilikuwa Songea-Iringa, tatizo lake kila baada ya dakika anapigia jamaa yake na mazungumzo yao ilikuwa ni namna wanavyopendana kwa dhati na mbinu watakazotumia kuhakikisha mapenzi yao yanadumu... Kwa kweli safari ilikuwa mbaya sana, just imagine kila dakika tano unasikia the same story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…