Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Mkuu sina ufahamu kabisa kuhusu mambo ya afya zaidi ya kujua huwezi ambukizwa hadi upate michubuko, ilikua inatokea mara kadhaa najilaumu kula kavu baadhi yao lkn nikishakua kwenye tukio nasahau yote nakula tena kavu,
Yaani mimi kuliko kula na ndomu bora nipige selfie,
Kwenye habari ya kupima hofu lazima iwepo, nshawahi kimbia majibu pale lidas miaka flani lkn baada ya kuoa ikawa kupima haikwepeki mambo ya clinic.
Na nshawahi kuuguza adi kufa mama yangu mdogo kwa uo ugonjwa alikua bonge lkn alikufa akiwa km mtoto wa miaka 10,

Nikiwa na akili zangu kawaida nahisi kauoga flani hivi, lkn nkishakutana uso kwa uso na K najisemea NIWE NAO NISIWE NAO NTAKUFA TU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes, ni kwl kabisa mkuu kifo hakikwepeki unaweza ukajitunza na ndom ukafa na bodaboda n.k
Nmekusoma mzee baba endelea kutembeza ngozi na kuzichakata papuchi kwa uweledi
 
Nilimla demu flani hv mbele ya familia yake, nasema nilimla mbele ya familia yake kwani wakati tukifanya sex chatting alisema alikuwa yuko na wazazi wake
 
1. Nimekula kimasihara demu ndani ya basi la mkoani
2. Nimekula kimasihara mdada niliekutana nae church kwenye ibada
3. Nimekula kimasihara mke wa boss wangu
4. Nimekula kimasihara mama mwenye nyumba na mtoto wake
5.Nimekula kimasihara stranger tu,nilimpa lift ya gari kipindi mvua inanyesha
6. Nimekula kimasihara jirani yangu
7. Nimekula kimasihara mdada wa mpesa

Aya weekend hii,semeni wenyewe nianze na ipi kati ya izo hapo juu
Kapime mpwa ila kimoja tu umesahau karma, mpwa ogopa sana kutembea na mke wa mtu kwa hayo yoote uliyo yafanya hakika utayalipia na kama si wewe baasi ni watoto wako so jiandae , kumbuka hadith ya Akan na wana wa Israel,nina miaka kadhaa hapa ila kiukweli hawa wamebarikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sina ufahamu kabisa kuhusu mambo ya afya zaidi ya kujua huwezi ambukizwa hadi upate michubuko, ilikua inatokea mara kadhaa najilaumu kula kavu baadhi yao lkn nikishakua kwenye tukio nasahau yote nakula tena kavu,
Yaani mimi kuliko kula na ndomu bora nipige selfie,
Kwenye habari ya kupima hofu lazima iwepo, nshawahi kimbia majibu pale lidas miaka flani lkn baada ya kuoa ikawa kupima haikwepeki mambo ya clinic.
Na nshawahi kuuguza adi kufa mama yangu mdogo kwa uo ugonjwa alikua bonge lkn alikufa akiwa km mtoto wa miaka 10,

Nikiwa na akili zangu kawaida nahisi kauoga flani hivi, lkn nkishakutana uso kwa uso na K najisemea NIWE NAO NISIWE NAO NTAKUFA TU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah ndugu muombe sana Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Nimekula kimasihara demu ndani ya basi la mkoani
2. Nimekula kimasihara mdada niliekutana nae church kwenye ibada
3. Nimekula kimasihara mke wa boss wangu
4. Nimekula kimasihara mama mwenye nyumba na mtoto wake
5.Nimekula kimasihara stranger tu,nilimpa lift ya gari kipindi mvua inanyesha
6. Nimekula kimasihara jirani yangu
7. Nimekula kimasihara mdada wa mpesa

Aya weekend hii,semeni wenyewe nianze na ipi kati ya izo hapo juu
Tukapime ukimwi kwanza ndio tuendelee na safari

@military_Genius
 
na sisi wa alkasus mujarabu tuje na nn
UKIPITWA NA HII HUNA HAJA YA KUSOMA SHUHUDA ZOZOTE ITAKUWA AINA MAANA TENA TUNAKUJA KUZIMA NA KUFUNGUA TENA NAONA KULIPOA SASA KWA HISANI YA WANA NITASHUSHA KITU ILI MAMBO YAWE SAWA .............MWAMBIE NA MWENZIO MIKITO MIKITO KARUDI NA ANASHUSHA KITU .....
KAMA UNA MKATE ANDAZI CHAPATI NJOO NAYO CHAI IPO YA RANGI NA MAZIWA
KAMA NI MTU WA KUAMINI BASI BAKI NA MIMI MPAKA MWISHO NA ENDELEA KUAMINI .......

@military_Genius
 
Ebwanaeee,,,,Haya mambo ya kula Fruits kimaskhara yamekuwa mengi sana,

Mwaka Jana mshikaji wangu alitongoza jimama Hilo hatari,sasa likampa namba wakawa wana chat,

Hilo jimama likamwambia jamaa aende weekend mana lilisema lina ishi lenyewe mitaa ya kilima hewa,na likadai mume wake alishafariki na kuhusu watoto wako shule wanakaa boarding, wakawa wana chat chat ile mbaya mpk mambo ya sex,jamaa akawa ananionyesha anajidai ile mbaya.
Nakumbuka Siku kama ya jumatano ambayo ndo ilikuwa wiki ya kwenda kumtembelea kwake weekend hyo,Lile jimama lilimwambia jamaa kuwa atafute kijana mwingine mana kuna jimama lingine linatafuta kijana,Ebwanaee jamaa akanipa ile taarifa,moyo ulilipuka Paaaaaaaah,,,,,, kama vile nimetupiwa Bomu lilitongenezwa Kwa virusi vya corona,

Pale pale nikapewa namba wazee baba,nikaanza kuchat nae,Mara akaniomba picha,nilivyo mtumia akaniuliza,wew mbona ni mdogo sana?
Nikamjibu Haina shida mtoto mzuri,sawa me ni mdogo lkn Kwa matendo yangu huwa shetan mwenyewe anakaa pembeni kushuhudia game,,,
Nakumbuka baada ya hiyo text alinipgia video call akicheka,Duuuh huendan na maneno yako,akasema hvo.

Siku zilienda huku tukiwa tumeshapanga tukutaniae kwenye nyumba ya yule jimama la mshikaji,

Ebwanaeee nakumbuka wiki ile nilikuwa naona kama vile haiendi mana haya majimama yalikuwa yako njema ile mbaya,ninavyo sema majimama siyo ile mijimama mitupu nyema,hapana aisee,

Nakumbuka ilikuwa ni Siku ya j pili nimeamka asubuhi tu nikakutana na text,eti tuwaandalie nin waume zetu,Nikamwuliza mshikaji,akanambia wapike ugali,akajibu duuuh mnataka mtusugue mpk tukome eti,,,!!

Mida ya saa 4 nikaenda kuchukua ndinga Kwa bro ya kwenda nayo ili kujiongezea thamani,Tukaenda mpk kilima hewa,walioko mwanza wanapajua,tukaelekezwa mpk tukafika Kwa huo mjengo,get Kali mpk nikaanza kuhis hapa kuna hatari ya kufumuliwa malinda mamake,ila mtu mzima nikajikaza tukazama mpk ndani,geti likafungwa Daaaah,Kweli wale wadada walitupokea vzr huku tumepiga pamba zile za kibishoo hasa,na tulisifiwa vya kutosha wazaz.

Tukapiga stori pale sebulen,baada ya nusu saa msosi ukaletwa tukafinya,tulivyo maliza kula,nikashangaa jimama lile la mshikaji likaanza kusema,nyie watoto sikilizen,nyie bado ni vijana wadogo sana,hii tabia ya kupenda wanawake walio wazidi umri siyo nzuri,ebu fikirien wazazi wenu wakijua kwamba sisi tunatoka na nyie watatufikiriaje,Ebu achen umalaya nyie watoto mtakuja kufa vibaya Kwa maradhi,muda huo hata sielewi Niko wap, yan Nipo Nipo tu huku nimeinamisha kichwa chini,waliongea vitu vingi vya kutushauri mpaka nikajuta kuzaliwa,
Ilibidi tu tuage tuondoke mana duuuh,nakumbuka wiki yote ile hata performance yangu kazin ilikuwa ndogo sana,yani nilihis kama wale wamama wametuvua nguo.

Licha ya wale majimama kutuchamba Siku ile ila hawakuacha kuwa wana tutext kila Siku.

Continued.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo mlifeli mlivyosepa. Ilitakiwa mkaze Ile kindaki ndaki.... Yaani mnakuwa full bandidu.... Full baharia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyu mjinga unaweza kuta amewai hata kula mbuzi kimasihara

Sent using Jamii Forums mobile app

Unanikumbusha siku moja nilikua na wanangu wa utotoni tunapiga stor mara zikaja stori za kupiga puchu shulen, mshikaji wetu mmoja akasema yeye hajawahi kupiga puchu hata mara moja ila ametia sana mbuzi waliokua wanafugwa kwao. Asee kuna binadam wa ajabu sana ila kwa sasa jamaa ukimuona huwez kuamini anaonekana so gentleman.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kapime mpwa ila kimoja tu umesahau karma, mpwa ogopa sana kutembea na mke wa mtu kwa hayo yoote uliyo yafanya hakika utayalipia na kama si wewe baasi ni watoto wako so jiandae , kumbuka hadith ya Akan na wana wa Israel,nina miaka kadhaa hapa ila kiukweli hawa wamebarikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unanitisha mbona,mi niko naee saizi toke mwaka jana. Labda useme kwanini una ogopa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nilikuwa na ahadi na manzi wangu hapa Mlandizi,nimechukua logde saa nne asubuhi kufika saa tisa manzi hajafika kupiga simu hapokei,baharia nikasema Leo nimepigwa changa maana huyu dem anakaa kwao na baba yake ni mjeda,nikajua nimeshakula wachuya,maana Mzee wake hakawii kusema wote shamba.

Mwamba kufika saa kumi nikatoka nikaenda kupata msosi karibu na barabaran hapo,nimemaliza kula kipindi chote napiga simu manzi hapokei kabisa wala SMS hajibu.Nikasema Leo 15 yangu gest imeliwa bure na muda nimepoteza.

Ile natoka nje pale nilipokuwa nakula nikapishana na demu ana hips,mrefu,mweupe,demu ni mkali usipime,duuuuu kichwa cha chini kikaanza kufikilia.

Nikasema ngoja nimfuate huyu manzi,kumbe alikuwa anaenda saloon jiran na pale tulipoonana,sasa ikabidi nimfuate kwa nyuma,mara paaaa anaingia saloon,mwamba nikabana nje kumbe kule saloon kuna aunt yake alikuwa anampelekea funguo na yeye anaenda dar.

Alipokuwa anatoka sasa mim nikamsalimia,mambo vipi,za siku nyingi, umepotea sana nikataja jina lake maana nilisikia kipindi anamuaga aunt yake,akipewa neno shule njema Xy.

Demu akawa anajibu lakini akivuta taswira tumeonana wapi,basi mim maneno Mengi utafikiri namfaahamu kitambo maana ukijua jina la demu kila dakika 1,umelitaja Mara 5,tukawa tunaenda lami sasa nikamwambia naomba tukae hapa dakika chache japo tupate kinywaji,kumbuka nina room tayar na yule manzi hajapokea simu nikaizima kabisa simu yangu.

Baada ya maongezi mengi pale nikasema mim ninaenda dar lakin gari yangu ipo gereji baada ya nusu saa inatoka, subiri twende wote dar,manzi kwa mbinde akakubali.baada ya dakika 20,nikasema twende nikachukue begi langu then twende kuangalia gari kama imepona,(kumbuka Mwamba sina hata bajaji wala Gari),zile ni mbinu za kivita tu.

Tukaenda hadi pale logde jina sitaji mnaweza unganisha dot. Kufika demu kabaki nje kasema wewe nenda nakusubili huku nje,kichwa cha chini kikawaza fasta nikapata jibu.

Reception nikachukua key nikamwambia muudumu nifuate ,nilipofika nikafungua mlango then nikasema na muhudumu kuwa yule manzi pale chini ufanye aje ndani mwambie haturuhusu kukaa nje maana kuna michoro mingi inachorwa na majambazi,kwa hiyo ingia ndani.Mara paaa demu kaletwa room,yani huyu Muhudumu zaid ya pele na nilimpa elfu 5 ya soda.

Xx akasema unachelewa mbona nikasema nilikuwa naoga joto kali sana,Nikamkaribisha pale mezan kuna maji na wine maana niliianzia mapema wine,basi akawa amekaa kwenye kiti.

Story za hapa na pale akaanza kunidadisi mbona mim sikukumbuki tulionana wapi?:mwamba nikajibu kumbe tabia yako ya kusahau bado ipo,mim nimekuacha mwaka wa kwanza Chuo IFM
Maana nilinasa maongezi ya chuo chake,

Nikaamka nikamfuta alipokaa,nikamwambia maneno 3,wewe ni mzuri, mrembo na ni wife material,nikammalizia na busu mwaaahhhh,duuu manzi akaanza kulegeza macho,fasta nikaanza kutouch ,nilianza na masikio,nikaja kifuani,Bint anatetemeka utafikiria ana dengue ama corona, nyonya maziwa,,piga fingure sana,demu amelowana mbaya,nikamlaza kitandani, Durex ndio ngao ya Ushindi, nikachana kuvaaa demu Anasema unataka kufanya nin,nikajibu nakusalimia tu,wanawake bwana nyege juu alafu unauliza.
Baharia nilipiga show ya kufa mtu,demu anakata kiuno sijawai ona,,bao ,3 fasta sana na condom zikaisha,nikasema siuz mechi hapa.

Badae nikamaliza nae nikachukua namba kisha nikapiga simu gereji mkwara tu,"Fundi anasema amefuata spare ya Gari dar yupo njian a narud"je utaendelea kusubili,akasema no mim naenda ukija dar nitafute,nikampa nauli ya kwenda dar kisha manzi Xx akasepa.

Kumbuka simu ilizimwa,baada ya kuwasha nakutana na SMS kuwa baba alitupeleka shamba nimekupigia hupatikan nimerud home.
End ........


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom