dawa yenu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 2,829
- 3,733
Huyu binti shombe shombe, mwenye kiuno maridadi, tabasamu murua, sauti mwanana, tako la kutosha, nilikutana nae kwenye Basi. January 2020, nilikuwa Nina safari kutoka dar kwenda Songea, kawaida huwa sikati tiketi mapema na ndivyo ilivyokuwa siku hiyo.
Foleni za tabata na kero za traffic nikachelewa kufika stendi (ubungo) bus za Songea sikuzikuta, ikabidi nipande bus inayoenda Mbeya ili nikashukie Makambako kisha niangalie usafiri mwingine. Nikapata Bus Ila limechoka balaa, Kwanza nje limeandikwa Dar-Iringa wanasema lilikuwa limeanza kwenda Mbeya siku si nyingi. Nikaona si mbaya ukizingatia nauli walinipunguzia sana. Nikapata siti nyuma ya dereva, nikatulia. Dereva alivyoanza kupiga gia ndio nikaamini don't judge a book by it's cover, injini iliitika balaa, ndinga linaondoka kibabe nikasema yes, nipo sehemu sahihi!
Tumefika Mbezi bus likasimama akapanda huyu bi dada, japo alinishtua moyoni ila sikumpa attention yoyote! Alikuwa amevaa suruali nyeusi iliyombana na kumkaa vyema, juu alivaa nusu kanzu na ushungi halafu akatupia miwani flani, itoshe kusema alipendeza huenda kuliko mabinti wote niliobahatika kuwaona asubuhi hiyo.
Hakupanda peke yake, alipanda na jamaa mmoja ana ndevu Kama zote, amevaa kanzu fupi na suruali chini imekatwa, nikahisi Wana mahusiano, nikajali yangu! Wakakaa pamoja, jamaa alikaa upande wa dirishani halafu anafuata yule binti halafu kuna ile njia ya kupita watu halafu siti inayofuata nimekaa mimi so Mimi na yule binti tulitenganishwa na ile njia katikati yetu. Hatukusalimiana alikuwa amevaa earphones.
Dereva nusu chizi nusu timamu anakimbiza balaa, anafanya over take za hovyo, hajali matuta, halafu anakunywa soda ameweka kwenye chupa ya uhai, nikafunga mkanda vizuri just in case anything happens. Hadi tunafika Morogoro kila abiria alikuwa amejiridhisha kuwa tunaendeshwa na chizi.
Bi dada na yule jamaa Mr. Mandevu wakawa wanapiga story kichizi halafu Mr. Mandevu alikuwa na hela maana alikuwa ananunua vitu hovyo hovyo kwa ajili ya bi dada. Alimnunulia hadi saa fulani kali balaa, yaani walikuwa wanafaidi hatari kiufupi Mr Mandevu alitawala mchezo.
Tukafika eneo moja linaitwa Mbuyuni, bus likaharibika. Kuna pipe ilikuwa inavujisha mafuta na hawakuwa na spare, pale tulikaa zaidi ya masaa mawili. Abiria wote tukashuka. Nikaenda kukaa nyuma ya bus ndio nikamkuta yule bidada anaongea na simu ila sio kibantu, bahati nzuri mazungumzo yalikuwa mwishoni.
Mr Mandevu sijui alikuwa wapi! Nikamuuliza bi dada ile lugha gani? Akaniambia kiarabu! Alipoona nashangaa ndio akaniambia alijifunza Dubai na kwamba yeye anaishi Dubai kwa dada yake ila Mbeya anaenda kwa wazazi wake kuwasalimia na atakaa huko kwa wiki tatu. Tukafahamiana majina then akaondoka kwenda kwa Mr Mandevu a.k.a Mutu ya pesa.
Spana zikapigwa pale hatimaye safari ikaendelea ila muda ulikuwa umeenda Sana. Tukafika Iringa jioni sana halafu bus likaanza kufungwa pipe mpya. Hapo nikapata chance ya kupiga story na bi dada, Mr Mandevu aliondoka kidogo. Nikamtania kuwa yupo kwenye mahusiano mazuri, akaniambia kuwa yule bwana wameonana tu kwenye bus ila hawafahamiani. Kumbe Jimbo lipo wazi yeyote anaweza kugombea.
Iringa tukaondoka giza lishaingia, ilikuwa ni lazima nilale Makambako siku ya pili ndio niende Songea. Nikamcheki jamaa yangu anaishi Makambako akaniambia nikifika nisiende guest nitalala kwake. Saa nne usiku tukaingia Makambako, wakati nashuka nikamuomba namba bi dada! Akaniandikia fasta huku nikimuahidi kumpigia soon.
Jamaa yangu akaja stendi, tukaenda kwake. Duuh mshkaji kajipanga sana! House ya maana Sana halafu yupo mwenyewe tu. Basi tukanunua K Vant tukawa tunapiga mdogo mdogo ndio nikamkumbuka bi dada. Nikampigia chap ndio akaniambia bado wapo stendi makambako, gari limeroga Tena. Nikampa pole Sana, nikijifanya namuonea huruma mno!
Nikampa scenario mshkaji akatoa suggestion Kama vipi tukamchukue bi dada aje kulala pale then asubuhi aende Mbeya maana usiku ushakuwa mwingi. Nikamcheki Tena bi dada then nikampa hiyo idea, alishtuka balaa! Ila nikamshawishi Sana hatimaye tukakubaliana ikifika saa tano Basi halijaondoka nikamfuate.
Nilipokata tu simu, tukaenda kumfuata chap. Nikampigia simu akashuka kwenye bus nikampanga Sana Hadi akakubali, hakuwa na mizigo mingi. Tukaita bajaji hao tukasepa. Mr Mandevu sijui alikuwa wapi time hiyo. Njiani tukanunua juice kwa ajili ya bi dada na msosi. Tulipofika home tukala then jamaa yangu akanionyesha chumba cha kulala halafu yeye akaingia chumba kingine. Sebuleni tukabaki Mimi na bi dada hapo ashanizoea Sasa.
Akawa ananisimanga kuhusu KVant, eti pombe sio nzuri... Nikachukua soda nikachanganya nikampa ajaribu, akataka kugoma nikamwambia sio mbaya mara chache katika maisha kujaribu kitu cha tofauti na hapa tupo Mimi na wewe dunia ni yetu tunaweza kufanya chochote, the world is ours baby. Bi dada akakubali. Ikafika saa Saba kasoro, ashalewa na anataka kulala.
Nikaingia nae room. Akawa haelewi what next. Amesimama tu ananiangalia. Nikajua shida ipo wapi so nikaenda toilet niliporudi bi dada alikuwa nguo ameishavua na ameishajifunika blanket. Nikavua nguo nikabaki na boksa then nikaingia kwenye blanket.
Tukawa tunaangaliana tu, bi dada yupo stressed balaa haamini kinachotokea. Anatetemeka. Nikimcheki mweupeeeeee, daah! Nikaanza story pale anapenda Sana story haikuchukua dakika ishirini tulikuwa tumeishakaribiana Sana kiasi kwamba nilikuwa nazifeel pumzi zake. Nikamshika kiuno kimasihara, akafumba macho. Nikamsogezea mdomo, akaupokea. Bi dada anajua kunyonya mate yule halafu kiuno anakizungusha taratiiiiiiiibu.
Mara anishike kifuani, mara masikioni aisee hatari tupu. Nikashuka kifuani nikaanza kunyonya zile dodo huku naziminya minya kiufundi, bidada anajikunja kunja tu pale juu ya bed. Mara kanipandia juu, akanimiliki pale, alikuwa fundi balaa. Aisee mechi iliyopigwa pale, tukapiga mbili za haja. Halafu tukalala. Asubuhi tukapata kimoja then tukaoga tukaenda sebuleni jamaa alikuwa anaenda job so akatuambia supu inapopatikana.
Kiufupi maisha yalikuwa mazuri sana, akawa demu wangu kwa siku hiyo na nikaenjoy company yake. Saa nane nikamsindikiza stend akaenda zake Mbeya Mimi siku ya pili nikaenda Songea. Bi dada Ni girlfriend wangu mpaka time hii, ananipenda Sana na kuhusu Hilo Sina hofu. Shida ni moja tu mwezi wa tano anarudi Dubai... Najua huo ndio utakuwa mwisho wetu!!

,au mnataka mtufanye kama kwenye video za X
,
.