Walinzi wa pale Mlimani city wanapiga hela sana kwa kuwakamata watu wanaofanya mapenzi kwenye gari ikiwa parking. Nilishawahi kuwa mlinzi hapo miaka ya 2012-2014 nilikuwa napenda sana nipangiwe night shift kwenye parking ili nipige mpunga. Wewe walikupiga pesa ndogo mimi ilikuwa nikikukamata mkwara wake lazima ikutoke 80k au ukiomba sana 50k .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwaje tupe mastory ndugu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ni wewe uliyekuwa na Corola 111 nyeupe? Jirekebishe mzee, mambo unayofanya na umri wako haviendani...ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lasivyo unatoboa siri au sio[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikuwa enz za jk mkuu hizi ni enzi nyingine jabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dadeki dah[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji231] [emoji231]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise wewe ni bahari first class
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kuorodhesha hivi yafaa nini? Lete story, hadithia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kumbuka hiyo ni sinza mkuu,

hivyo vitoto vipo kama utitiri

ratiba za vyuo wanazijua kama wao ndo wanapanga

Next time kuwa makini.
 
Saluti mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…