Unadhani huu ugonjwa kuupata ni rahisi kama tunavyohisi
Ooh dunia ingekuwa yote imeelemewa na ugonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena Sanaaa,
Nina karibu miaka 10 situmii hiyo kitu na nshawala sanaa, na kipindi natumia ndom nilikua adicted wa malaya wa pale ambiance na wapo wachache nilikua nawala kavu maana mi na ndom hua sipati ladha stahiki, tunakubaliana bao 2 la pili likigoma ndio naomba kavu, ila sio wote walikua wanakubali.
Mi nikikutana na K kavu stimu zinakata maana mchubuko nje nje, maana kuna wengine unatoka apo dudu imejeruhiwa kama umeisugulia kwenye mchanga,

Simaanishi na nyie msitumie mna imani zenu, kila mtu afate kile anachoamnini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahha...ungewekeza kweli Elimu, ungeweza kuwa na Phd sasa hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Huo ndio ukweli mkuu, fanya research ya vitu vinavyokalizia hela yan hela yako inatumika sana wapi ? kama vina tija sawa kama havina jaribu kuhesabu zile hela utashangaa, mfano unaweza ukawa mnywa bia chukua laki igawe, weka hamsini ya bia hamsini weka kwene kibubu chochote kile nenda na hiyo trend uje uangalie hela zako ngapi zinazama you will be suprized hela iliopo kwene kibubu...🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii ni true theory

Ni Kama mbwa kujipeleka kwa chatu

Ukiwa katika relationship unakuwa na usumaku sumaku Fulani hivi [emoji1787][emoji1787]

Sasa kuwa singo uone hata nzi haikutaki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noma sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh hadi kwa wale malaya wa ambiance ulikuwa unaenda kuomba ugonge ngozi kavukavu? Nahisi health status yako utakuwa unaijua mkuu,sidhani na ntakuwa wa mwisho kuamini mtu anaweza kuwa na ujasiri wa kuendekeza dry kwa stranger na asiwe muumini kbsaaa wa ndomu ilihali awe haijui health status yake,nahisi mtu wa jinsi hiyo ni lazima awe anaijua situation yake ya afya ikoje ndo maana wengine ndom wanaweka kipaumbele labda itokee tuu
 

Aisee
 
Leo nakula kimasihara,kuna demu nilikuwa nafanya nae kazi, sasa nimekuja Arusha nimeomba nimtoe dinner,baadae nitajaribu mbinu za kibaharia nione.

Sent using Jamii Forums mobile app

kukubali dinner ni kama kashakubali, mpige na wine kidogo, au kwakua kashatolewa dinner kibao we yakwako ifanye iwe unique lazima dozi imuingie ajikute yupo on bed with you, wanawake wanapenda supprise...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jirekebishe kwenye grammar ni hilo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boya ww ungetumia hizo mbinu kwenye mitihani ungekuwa TO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio uliliwa hapo, si yeye

God save us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…