Nyang'au Magagula
Member
- Oct 9, 2014
- 70
- 48
Mimi ijumaa ya kesho kutwa (28/2/2020 saa tano uck nitakula tunda kimasihara kwa mtoto mzuri wa kisukuma. Mtoto anatoka mwanza kwenda dar. Mimi nipo morogoro. Nimembeleza afikie kwangu apumzike hata cku mbili. Mtoto kakubali. Namsubiri kwa ham sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakukuwa na mpango wa kulana wala hatukuwa kwenye mahusiano, bado naamini nilikula tunda kimasihara
Hahaa Daaah... Welcome back Baharia #RikiboyIM BACK.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]VIJANA MMEKULA MATUNDA MPAKA BIRIANI!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kucheka bila kutimiza wito wangu haisaidii kitu embu ukuje huku tupakatane[emoji4][emoji39][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka tyuuuuh
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu huyu hana marinda tumpuuzieWeeeeeh ndo unajifany unajua details zangu San au? Mxieeeeeeeeeeeeeeeeeew
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu weka code vizuri usije uka.tut o.mb.eeaa mademu zetu kimasihara
Sent using Jamii Forums mobile app
My sumsungSasa ni saa 10:30 asubuhi bado dk 5 niangamize chombo kimasihara loool huu uzi sio wakupitia maana nilipata mbinu na mimi nikajiongeza na mbunu zangu hatimaye mtoto kaelekea kiblaView attachment 1376248
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mm msinisahauTUANDAE EVENT YA HUU UZI
UKIJA UWE TAYARI KULA KULIWA KIMASIHARA
TUFURAHI TUENJOY MAISHA NI MAFUPI SANA
NI WAZO TU LINAWEZA KUPUUZWA
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko maji gani yana trend?Upo DSM sio? Nakaribia kumaliza mwaka na nusu Arusha sijaona maji ya Uhai
Kilimanjaro
Hueleweki mkuuNiko sehemu flan hapa Arusha Kuna mmaza wa mmbulu kamkabidhi mwanae grocery Basi bana katika stori huyu dogo katuambia mama yake ndo bosi but atakuja muda sio mrefu Basi saiz saa tatu na dakika zisizo kumi alkua alshakuja Basi kamkuta dogo yupo na jamaa flan hv Basi akamwambia amlipe mwanae aende akamlipe Toyo Ile dogo kunyanyuka yule maza akaenda kukaa na jamaa Basi ikabida ka 5' yule dogo na kampan yake wakaanza kumchokonoa kwa sms na missed calls mpaka akanyanyuka, Basi alivyonyanyuka tuu yule dogo akaenda kukaa pale mpaka saiz maza nje dogo in.
SISI WANAUME TUJIFUNZE KUZAA KWA MAADILI VINGINEVYO TUTAKUJA KULALA NA WATOTO WETU.
MUNGU ATUNUSURU SANA JAMANI
Kwahiyo unahisi kila mtu anaamini Ukimwi upo?Hahahah.... unakulaje stranger kavukavu... Halafu unakuta mtu anakula kavu dame aliyemtoa badoo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hueleweki mkuu
Typed Using KIDOLE
be my friend pleaseMasikhara ni jambo ambalo hamjapanga wala kutarajia km litatokea na hakuna bills zozote zitakazolipwa baada ya tendo kutokea.
Sasa watu wanatongozana mpk wanapanga sehemu ya kukutana alafu useme masikhara?!! Ebu tambaeni na beat basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahh watambae na beat sio[emoji23][emoji23][emoji23]Masikhara ni jambo ambalo hamjapanga wala kutarajia km litatokea na hakuna bills zozote zitakazolipwa baada ya tendo kutokea.
Sasa watu wanatongozana mpk wanapanga sehemu ya kukutana alafu useme masikhara?!! Ebu tambaeni na beat basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Avatar n ME, username haifungaman na upande wowote, mwandiko km kigori Cha darasa la 4 B, mkia mbele (mb...o?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] KhaaaaaaaaahAvatar KE
Username ina uME fulani hivi
Mwandiko kama kidada cha form two C
[emoji28][emoji28][emoji28]
Mkia mbele?!! Ndio upi huo