Hahhahhahah...Salute mkuu.

Mwendelezo[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi nimekutana na demu kwenye daladala nikabahatika kukaa naye siti moja.
Wazo la uzi wa rikkiboy likanijia kuwa nitest zali hapa. Changamoto iliyokuwepo ni umbali mfupi na nilipokuwa nashukia mimi,nisingeweza kumtongoza ndani ya muda mfupi hivyo akanielewa. Nikaona niombe namba ili mengine niyamalize kwenye simu. Nikamsemesha akawa anajibu vizuri tu,nilipofikia kuomba namba ya simu mdada akawa ananiangalia tu halafu anacheka. Nikahisi huyu ashapita kwenye uzi pendwa hivyo anazijua mbinu zote. Nikamuomba anielekeze atakapokuwa ili nikipata nafasi nije kumuona akasema siwezi kumpata kabisa.
Wadau nilifeli wapi kula kimasihara hapa?
 
Ungemlipia mahari

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ulifeli sehem ndogo sana mkuu ilibidi ushuke kituo chake
 
Na demu wako nayeye Jana aliliwa na Baharia mwingine aliye kubali kumtoa out.Hapo ngoma njenje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mabaharia mpaka wamefikia hatua yakula tunda kimasihara ujue wameshapitia vimbwanga kama hivyo vingi sanaaaa so usikate tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo hata kama ungefanikiwa isingekuwa kimasihara kimasihara hatutongozi yani inatokea tu unakuta mtu kaliwa.. nimekula sana mabeki tatu kimasihara.. [emoji51][emoji51]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah..! Huu uzi umefanya nikumbuke, jinsi nlivyomla mwanamke mmama mtu mzima kama hakunidanganya alikuwa na miaka 41, mie damu bado ya moto, miaka ya 2010, nikiwa na miaka 20 tu.Alikuwa ni mpangaji mwenzetu, mama wa rafiki angu wa zamani.
 
[emoji23] bila shaka Huyo mzee kama anasoma na hizi comment fupi fupi atakua amrona comment yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usilolijua sawa na usiku wa giza.. wengi wanamkimbia sababu hawawez himili purukushani zake.... afu ushasema ungekua mwanaume... so hujui akili zetu sie wanaume.... ungekua mwanaume ungeelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah... demu ana pumzi kwenye 6×6 hatareee.... unaweza omba pooo.. mda wote anataka... yule nahisi ana pepo la ngono...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mdemu ameingia Facebook inbox anasema anataka mchezo na mimi. Sijazoea kusex na wanawake wa aina hii. Anaonekana na mtundu maana anasema anapenda sana starehe hizi. Anataka nilale naye siku nzima na mimi nina mke nimefanyeje huyu? Ametuma picha za kutosha ila moyo wangu unasita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamfahamu?... kama humjui na Moyo wako unasita mpotezee... kuna wengine wana magonjwa anatafuta wa kufa nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…