Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Naamin hii story haijafika mwisho kwa sababu mbili!


How you met your wife.......hapo hujafika point ya kuelezea ulikutana nae vip though kwa mbali sana naamin ni mtoto wa boss ndo ulikuja kumuoa kwa sabab kuna mahali umesema mwanzo wa mahusiano yako na boss yaliyochukua mda mrefu kuja kuvunjwa na binti [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app

pia mi mwenyewe nimetafuta sana sehemu jamaa alipomaliza story hamna kitu naona kaiacha juu juu
 
My girlfriend alitaka kuniacha sababu
ya huu uzi.

Ipo hivi, majuzi kati nilipost kula kimasihara kwa mtoto wa kirangi kitoka kondoa, nilielezea kila kitu kuhusu mazingira yalivokua na hadi kumla yule mtoto wa kirangi.

sasa jumapili ya juzi kulikua na ubatizo hapa kwa jirani, watu kibao walialikwa na sisi tukiwemo, tukanywa pombe chakali, jirani akaomba nimsindikize anapowarudisha wageni stand kwa gari yake ili asiwe pekeake kwny gari, kwa vile nimelewa, nikampa simu yangu wife aingie nayo ndani adi nitakaporudi.

sasa tumekwenda kusindikiza wageni, safar zikawa ndefu na huyu jirani yangu, tumezagaa hadi sa saba usiku,

nilivorudi home, wife akanambia kaoge kwanza ndo uje ulale, aiseee, nimetoka kuoga nakuta wife ameamka na amekaa,
kumbe kasoma kile kisa chote cha kumla yule mrangi kimasihara na ameshamjua ni yupi mana aliweza kuunganisha doti.

nimeyumba sana, nimejitetea sana japo nimekataa kabsaaaa kua nimemla yule mdada, amenisamehe kwa sababu ananipenda ila nimeumia sana kumuumiza mwanamke wangu, najisikia vibaya sana, nimejiona mpumbavu sana aiseeee.

imenidi nifute coment zangu zote huko juu kuhusu kula kimasihara ili maisha yaende kwa muda huu.

amenisema hadi nimejiona mjinga, nilikua mdogo kama piliton, nimekosa adi ujasiri wa kumtazama usoni, thou she is okei now but mimi nafeel guilty sana.

najuta kufanya vile, najuta kwnn nilimuachia sim yangu wakati sipo nae,.

tuwe makini wanazengo, tuheshim mahusiano yetu.

play safe, love life.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu usijututie kwa nn uliacha simu jutia kwa nn ulimfanyia ivo mkeo [emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumsifia jamaa kapanga ushuani ni kiazi..!!

Nina uhakika huko mkoa ulipo hakuna Uber, na kama unaishi mjini ‘uswazi’ utaelewa jinsi ilivyo ‘rahisi’ kumwelekeza Uber na akafika bila hata kuuliza.... nakazia kwa maelezo ya jamaa ni mitaa michache ya kishua yenye mageti ya nambari.

Tuseme nawe unaishi ushuani mzee.
Wakt jamaa hapo kasema aliwapa direction mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mimi nina mkasa mzito mpaka kusimulia naogopa naona mungu hatonisamehe kwa kweliii,na nilishajaribu kutaka kuandika humu ikawa inagopa kujipost ,
Mungu anisamehe nilitenda dhambi kubwa sana
share tu edit majina na locations weka za kufikirika.....the past is long gone
 
Wazee hii Mambo ni kama shetani anaiwekea njia izidi kukimbiza humu maana hapa nimestuka usiku huu kwenda toilet kutokana na wenge la usingizi nikavamia tu bila kua makini najikuta nakutana na mdada mpangaji mwenzangu but amenikata umri kwa kuangalia kwa macho na ajabu anastay na maza ake na sijajua kwanini lakini wote wanapiga kazi so sio watu wa kushinda home na hiyo imepelekea mazoea kua doro kabsaa.

Kwa aibu nikarudishia mlango fasta nikawa nawait atoke but nikawa nimesogea pale mlangoni alipotoka nikawa sijui nimpe hi au nifanyaje maana nilikua nmekutwa na aibu kwa tukio lile nikajikuta naropoka tu kutaka radhi kwa tukio akavunga kwa kusema usijali kawaida tu but ajabu akawa ameganda na vyoo ni viko nje Sasa nikazama toi natoka namkuta analob_lob nje nikakumbuka kauli ya mkuu mmoja ya kumalizia usingizi nikaisema bn jirani ni giza Sasa twende tukaumalizie usingizi mbona nje mpaka muda huu nlitegemea ushaingia ndani bn......nikiwa nampita hv akanishika mkono nikasema ngoja nijaribu nipate Cha kuhadithia humu but ajabu yaliyotokea ni tulikutwa na maza ake akiwa anatoka na yeye but hakuna aliyekua ameyumba maana ilikua ni papasapasa na mate tu.

Na maza alijua fika kilichokua kinaendelea maana alipofika tulikua hatujachanguka vizuri na kwa wenge nikamsalimia but hakuitika hata kidogo akapita na zake Sasa cjui kukikucha nitayamudu vipi macho yake.But ndio nimefeli kuleta stori kwa balaa la mama kubanwa na yeye ila ningekuja kuvimba humu ndani kimasihara!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hhhhh huyo tayari mkuu bado kuliwa rasmi....yahn leo uzi huu umenifanya nipige nyeto hivhivi baada ya kitambo sana kuacha hizi mambo uzi huu wa kimasihara bao mbili na uzi ule wa usichukulie poa nyumba choo nao umejipatia zawadi ya bao moja la mkono hahahahahahahaha...........hapa sahv kaja shemji yenu nimepiga kimoja chali yahn mpka anahis nimechepuka maana bao la nne na la kwnza tofauti kabisa hahahahhahaha hzi pono za JF mwisho leo walahi...


Eeeh samahni nitaendelea kuperuz kama kalambwanda Dolla_Mbili,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom