afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,728
share tu edit majina na locations weka za kufikirika.....the past is long goneDah mimi nina mkasa mzito mpaka kusimulia naogopa naona mungu hatonisamehe kwa kweliii,na nilishajaribu kutaka kuandika humu ikawa inagopa kujipost ,
Mungu anisamehe nilitenda dhambi kubwa sana
unaboa, kila mtu akisimulia unaandika chai, wewe chai yako ipo wapi!Chai.
Hajawahi kukutana nayo so anayasikiaga kwa wenzake anaishiaga kunawa tu kula hali!unaboa, kila mtu akisimulia unaandika chai, wewe chai yako ipo wapi!
Sent using Jamii Forums mobile app




Toa ushuhuda mkuuhii PEP wengi hawaijui ila binafsi imenisaidia sana
Yako iko wapi?
Mara moja moja!
Ngoja tusubiri may be ataleta sehem inayofuatapia mi mwenyewe nimetafuta sana sehemu jamaa alipomaliza story hamna kitu naona kaiacha juu juu

Muongo...Niko na huu uzi sambamba 😅Ipo juu kule mwanzoni kabisa.
Huyu tumpeleke jukwaa la malalamikounaboa, kila mtu akisimulia unaandika chai, wewe chai yako ipo wapi!
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahahaha when yo in rome act like romansMamaye niache..nasema tena niache...RB yako ninayo...yahumu yaishie humu humu...hamna kuanza kutoa code...
Muongo...Niko na huu uzi sambamba![]()