Hahah huyo jamaa ni msimuliaji mzuri saana.
Ila watu wa zamani mapenzi yalikuwa magumu saana hahah yan kuwasiliana paka barua

Yani barua huçhukua siku kadhaa kufika.

Leo hii hivi videm vyetu usipo vitumia msg ya usiku mwema tuu utasikia hunipendi.
Asante mkuu, tupo hapa tunasoma story za 1977, mbali sana huko mzee ilà kumbe kaka/uncles zetu walikuwa washaanza kumega kimasihara[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha, kweli mkuu. Ilà hii ya '77 jamaa anaweza kuwa dingi yako kabisa sumbai, hahaha joking!!
 
Daaaah! mkuu kama naiona Isanzu vile.
 
Sad[emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu aangushe tu khanga apake mafuta?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema hakuwa amevaa sindilia wakati anaingia kwenye part, pia mlipofika home alioga na kisha kubaki akiwa na tauro tu baadae ulipomaliza na wewe kuoga ukamkuta akiwa teyari keshajilaza kitandani...

Sasa swali ni kuwa ulisema hakuwa kavaa sindilia, sasa ulitoa vipi lock ya sindilia ilihali hakuwa kavaa kabla, mabaharia punguzeni chai jamani[emoji13][emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…