Inaonesha unafurahi mwanaume mwenzio ndoa inavyomsumbua but ukioa utajua Jamaa kipindi alichokua anakipitia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unachoshwa ni wewe tu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], na sio lazima usome yote

. Sisi ndo tunataka hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetisha mwamba [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
2017 nipo zangu gheto mida ya saa 4 hivi bro kanipigia simu nimpelekee koti bar flani hv anapata kinywaji, nikachukua zangu koti kumpelekea,hatua chache kutoka home nakutana na mdada just kama tunapishana hv,nikampa salamu akaitikia,nikamuuliza unaenda wp? akasema naelekea home,mbn mapema sana akajibu Kuna vitu nimetumwa , vp unaweza kunisindikiza bar flan hv akajibu naweza ila twende kwanza nyumbani nipeleke hv vitu ,baharia nikaona hii fursa nikamsindikiza baada ya dkk chache akatoka tukaenda zetu kwa bro. Tumefika bar bro akaninunulia chipsi na juice cz bia situmii nikabeba nikasep zangu home nipo na mtot stry mbili tatu,kufika home nikamuomba anisubiri kwny nyumb ya nje ambayo wanafikia wageni Kuna chumba na sebure so nikumkaribisha sebureni mie nikaingia zangu ndani na dakik chache nikatoka na sahani tukaweka chips bc tukaanza kul uku tukiendelea na story,Nikamuomba nimlishe chips akakubali nikachukua chips nikaweka mdomoni namkisha happy hapo nikaanza kula denda mtoto anakubali 2 nikajua hapa tayari,kula sana mate chezea sehemu zote mtot kalainika nikaingia chumbani nikachuchua kigodoro fln hv vile vya wanafunzi. Nimetandika godoro nikaanza kumchezea upya n kumchojoa nguo,nilishtuka sana kuona maziwa yake yakiwa yamelala kabisa ikabidi nimuulize vp una mtot akajib ndio,bc hamu ikarudi kidogo ya kuendelea na game,chezea pale nikaweka dushe langu hapo Sina condom cz wakat huo nilikuwa sio muumini sana wa condom,cha ajabu ni baada ya tako kama 5 hv jamaa akasinyaa bila hata kumwaga nikajiuliza sana kulikoni ila nikamuomba mtoto aende zake tutaonana kesho bc akanipa namba za simu akasepa. kesho yake jioni macho yangu hayakuamini kitu ilichokuw inakiona bidada alipokuja kupiga stry nyumbani kumbe ni rafiki ya bi mkubwa na wadogo zangu,Binti alikuwa amedhohofu sana ukimuangalia 2 lazima uhisi Jambo,nilishtuka mwili ulitetemeka san cz macho yangu yaliniambia kwamba huyu ni mwathirika(experience ninayo hasa wale ambao wamechelewa kutumia dawa). Jioni nimekaa na mother tunapiga stry ananiambia ulikaona kale kabinti kanatumia ARV ni kageni hapa mtaani kuweni makini,niliumia sana nikijua tayar nishaukwaa aisee. mawazo yalikuwa mengi na hasa nilipokuw nakutana nako na pia mtaani palikuwa pachungu sana kwn hbr zilienea mtaa mzima kwmb jamaa kapiga demu mwenye ngoma. Ilibidi nihame home kukakwepa nikaenda kupanga mtaa ungine .Baada ya mwaka hv mwli ulianza kupata magonjwa ya mara kwa mara na majipu ya hapa na pale ikabidi niend kupima nikiamini kwamba tayari ni muathirika nikaanze dozi 2 hakuna namna ,mungu si athumani nilipima nikajikuta ni mzima wa afya kuanzia happy kwangu condom ni Jambo la msingi na sitaki kula kimasihara tena


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwa inatokea sana hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jitunze sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira sasa una sheria nyingi hadi umekuwa haunogi Tena! refa, vibenderera, Var, etc....

Naona unajaribu kuanza kuleta, sheria on how, watu wachangie, ndo tunaanza kuharibu na uzi wenyewe,!!! uzi toka unaanza uko rough kweli, wachangiaji wengi hawafatilii kanuni za uandishi makini, spellings n.k, lakini pamoja na mapungufu hayo uzi umenoga na kusonga na mpka wewe umeukuta!!!

Mimi kama mzee, nimeona nichukue jukumu la kukukemea na tabia yako hiyo ya kuwa sensitive na maandishi, ili kuunusuru uzi, mana naona wataka tupotezea ladha.
Nb!! Kuna kijana kanichungulia nipo mwendo kasi nimepumzika nabariiiz na uzi huu pendwa, halafu kaja kusimulia huku[emoji41][emoji41]!!!! Laana zimfikie popote alipo!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisipotoa ya kwangu itakuwa sijatendea haki watasomaji.

Nilienda Mtwara kikazi, wakati narudi nilifika Dar usiku mida ya sa tano hivi maana nilichelewa kutoka kule. Kwasababu huwa sipendi kusumbua watu usiku nikasema nisiende kwa jamaa au ndugu yeyote isipokuwa nitafute lodge nilale kesho niendelee na safari yangu ya Mwanza.

Nikaenda mitaa ya riverside nikaanza kusaka lodge, kila ninayoingia imejaa. Nilizunguka kama dakika 30 hivi, hatimaye nikafika lodge moja hivi napo palikuwa pamejaa. Ile lodge ina bar pia. Mhudumu mmoja akajitolea kunisaidia kutafta lodge za jirani, napo juhudi zilionekana kukwama lakini hakuniacha peke yangu.

Nilitembea nae kama nusu saa hivi tunazunguka lakini lodge zilikuwaa zimejaa. Wakati tunazunguka na yule dada Moyoni nikaanza kuwaza huyu dada anamoyo mzuri sana, ameacha gori na anapigiwa simu arudi lakini anawaambia siwezi kumuacha mteja peke yake hadi nimsaidie. Kama vipi nitatest kimasihara.

Basi akasema ngoja nikupeleke lodge moja hivi ila sio nzuri sana je uko tayari? Nikamwambia poa ila nisipopapenda ninaenda kulala kwako. Akasema hana kwake maana anaishi kwa dada yake. Kweli tukafika ile lodge tukakuta vyumba viwili self moja na single moja, nikachukua self. Pale lodge nilikuwa mhuhudumu mdada inocent hivi ambapo alibadili kabisa upepo wa kumuwazia yule mhudumu wa bar.

Alivoondoka yule aliyenipeleka pale, nikawaza ngoja nitest kwa mhudumu wa pale lodge nione kama kimasihara inafanya kazi.

Yule mhudumu wa pale lodge alikuwa mshamba mshamba flani kama vile ametoka leo mkoani. Kasuka tatu kichwa kajifunga na kanga zake vizuri. Nikajisemea kuwa huyu atakuwa anajiheshimu jinsi alivyo alivyo. Nikatoka chumbani nikamfuata receiption nikamuomba namba, akanipatia. Nilivoingia tu chumbani nikampigia nikamwambia kama vipi njoo unipe kampani naogopa kulala peke yangu. Akasema hapana siwezi maana nipo kazini. Nikamwambia saivi usiku hakunna mteja anaakuja we njo tulale. Akasitasita saaana lakini badae akasema poa ila nakuja na kondomu. Nikasema poa. Baada ya dakika kumi akaja tukaoga then nikala mzigo hadi sa kumi asubuhi.

Kilichonifanya nimtest yule dada ni huu uzi. Nilijisemea ngoja nitest kama inafanya kazi, nashangaa dada kaingia laini.

Alaniwe aliyeanzisha uzi huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji478]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bahati yako pumbavu
 

Usisingizie uzi tafadhali,pambana na hali yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…