Iv kuna manzi aliyetoa ushuhuda wa kuliwa kimasihara?? Kama yupo comment no. ngapi??
 
Hahhahhaha. Watanzania tuendelee na kazi, na tuukuze uchumi wa nchi yetu hii pendwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukileta ushuhuda wa kula kimasihara tunaambiwa ni chai sasa ngoja baadae nishushe kitu nadhani kama chai itakuwa ya maziwa kaeni mkao wa kunywa
Asanteni
Achana na watu wenye gubu na wivu huku wakiwa hawajakua kimtazamo na kimaisha. Hawajakutana na mambo mengi ya kidunia kwa maana ya dunia yetu tunayoishi yenye visa na mikasa ya kushangaza.

Watu wenye hadithi zenye kula tunda kimasihara/kimzaha waendelee tu bila kujali wapuuzi wachache wanasemaje!

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli.
 
Wewe bwana utajua mwenyew kama ni chai au sio chai. Kama ni chai chukua hii miandazi unywee ushibe utulie acha watu walete ma burudaniView attachment 1325387

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee Yaani hivi ndio inavyo kuwaga ??.. Maandazi yapo chini halafu eti wanajifanya kutumia mifuko kuvaa mikononi kama strategy ya kuki-protect chakula kisipatwe na bacteria wachafu ''!!!!

So ina maana hapo chini ni mahala salama kwa usafi kuliko hata mikono Yao ..... Hahaha Aise kweli Africa watu wengi baadhi ni misukule ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…