HAHAHAHAHAA,watu noma sana humu...
sitasahau mwaka mmoja nlikutana na mwalimu wangu wa olevel,tukiwa mkoa mwingine.. nikamwambia madam unakumbuka somo lako nlikuwa sielewi kabisa sababu ya ulimbwende wako,na hadi leo huwa nakukumbuka.. sasa leo nataka nikupe ofa ya chakula na kinywaji ili nawe uwe na kitu cha kunikumbuka. dah,huwezi amini,baada ya kula na kinywaji kiasi naona teacher anaanza kucheka cheka tu,halafu akaniuliza we unaishi wapi nikamjibu nimekuja mkoani mara moja na nimefikia nyumba ya wageni ,basi kama nimejichongea...
eti twende nipaone ili kesho nikutafute,nyoooo....kumbe ndiyo gia zake za kiutu uzima ,mbona kufika room hakuna kiti ni kitanda cha guest,aaaahhh aliliwa mbona halafu mambo yake yako njema kinomaaa...mbona aliondoka saa sita usiku..
ila tuliendelea na kamchezo hadi naondoka mkoani kwake
 
Bado unakula?

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Bwana bwana!! Umenikumbusha mwaka 2013 Niko advance mwishoni mwishoni hivi mwezi wa march ndo tunajiandaa kupiga pepa mwezi wa tano tusepe maana maharage yalikua kero balaa,

Sasa bwana sisi tuliokua tunasoma kombi yenye somo la Kiswahili ndani yake tulikuwa tukifundishwa na madam fulani hivi ( jina kapuni) kusema kweli alikuwaga chuma balaa mweupe mnene hivi mzigo wa kutosha ila alikuwa mcheshi sana na mwongeaji mno.

Turudi nyuma kidogo pale shuleni tulikua na headmaster mnoko hasa juu ya masuala ya simu ilikuwa tu na simu balaha lake utalijua so Mimi sikupenda matata sana nikawa simu naenda kuomba kutumia ya yule madam wetu nikiwa na shida ya poket money home au shida yoyote, na kweli hakuwa mchoyo kutoa simu yake,


Sasa bwana picha linaanza pindi tunaelekea kupiga pepa kumaliza form six, nimekuta yule dada (MADAM) kumweleza shida yangu niombe pesa ya nauli pamoja na matumizi kumaliza muhula aisee nikawa nimeeongea na Mzee akawa amenitumia kama 250K Hivi ikizingatiwa nilikuwa nasomea mkoa wa mbali so nauli ilikuwa ikifika kama 100K na zaidi hivi hile pesa bwana ikatumwa kwenye simu ya madam wangu, sijui nini kilimponza yule dada JAMAN!! JAMANI!! JAMANI!! pesa kweli inamajaribu yake, huwezi amini yule dada akanipa 200K, akabki na kama elfu 50 hivi tena akaniita nende nikaifuate kwake (kitaa alikokua amepanga) chumba na sebule aisee akanieleza kabisa kuwa Mzee kanitumia 250K ila ana shida na 50K nimwachie nikaona siyo mbaya nilikaa pale kwake toka jion saa kumi hivi mpaka usiku saa nne hivi ndo nikarudi skonga (kuna njia chocho tulikua tukipita) shule haikua na uzio sio siri siku tulijikuta ghafula tunazini mtu na mwalimu (MADAME) wake kiutaniutani tu, nilipiga kitu sana mpaka hakuamini kuwa nilikuwa na uwezo ule wa kumpelekea mashambulizi mpaka akomba poo!! Baadae nikachuma pesa yangu 200K nikaondoka kufuru skul



Yaani baada ya pepa pia siku natoka skull kwenda home nilikaa siku nne ndani kwa madame nikawa najilia vyangu kwa sana ndo nikasafiri kwenda kwetu,


DAH!! AMA KWELI WEMA UNALIPA SIKUAMINI 50K YANGU ILINIPA UWEZO WA KUPIGA TOTO KALI LILE TENA MWALIMU WANGU.


POPOTE ULIPO MADAME "F" NAKUKUMBUKA SANA, SIJUHI KAMA BADO HUKO PALE NILIPOKUACHA.
 
Mkuki kwa nguruwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanafunzi mwenye adv kiswahili una mwandiko mbaya ivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa sekta ya afya.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…