Mods futeni hii post.
Na jamaa apigwe ban[emoji23][emoji23][emoji23]

Wanaume tuna mizigo yetu imelala kitandani tunaingia humu kuchukua stim. Sasa wewe unaandika gzeti afu hakuna sehemu uliyogegeda
Kama Maada haikupendezi wewe sio lazima Kuchangia, hii tabia kufuta nyuzi za watu bila kuwa sababu ya msingi, ikome

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chai nzito

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Inawezekana isiwe chai pia...kisa kama ili nilishakishuhudia sehemu.

Tulikuwa tupo tunafanya Kazi Fulani sehemu Fulani kwa muda kidogo tulikaa sehemu hyo. Sasa siku moja tupo tunapata masanga akaja Jamaa Fulani na demu wake..sehemu tuliyofikia kilikuwa ni lodge na bar. Basi driver Wetu akawa amemtamani kishenzi yule demu akatuambia huyu demu Lazima nimle..Kila mtu akashangaa...huyu vipi???

Basi bwana baada ya muda yule demu akawa kama pombe zimemuingia maana walikaa Mesa karibu na sisi. Akawa anaenda uhani Mara kwa Mara, driver akasema hapa hapa namaliza mchezo. Akaruambia nilivyomsoma Huyu demu nikimpa buku kumi hachomoi, basi demu ananyanyuka kwenda chooni driver na yeye akafuata nyuma hapo ni kama SAA Mbili hv. Kilichofuata Jamaa yake na yule demu alisubiria kama nusu SAA demu harudi..anaenda kumwangalia chooni...hayupo..akarudi akaanza kuleta Fuji.unasema demu wake kaibiwa kwa hyo Anataka kusearch lodge mzima chumba baada ya chumba..Muhudumu wa lodge akamwambia haiwezekani..baadae walinzi wa lodge wakaitwa Jamaa akatolewa kwa njee. Yule demu alilala na driver...ile ishu tulivheka sana asubuhi...na demu akawa demu wa driver kwa muda wote tuliokaa pale ila ilibidi tuame lodge driver asije akatolewa koromeo na jamaa .
 
Umenipotezea muda kusoma upuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Driver haendi mbinguni sio kwa ukatili huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…