Ukute na mkeo alikuwa anagongwa alipoenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa heshima yako Mimi naomba nikupe hongera na nakutakia kila la kheri [emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gazeti si tatizo.
Tatizo uandishi.
Kuna watu wanaandika pages unatiririka tu hata hujui umefikaje mwisho na ukifika mwisho unatamani asimalize.
Ila sasa wengine waandishi wabovu kama mimi hazivutii
Hivi kula kimasihala unaandika story gazeti linajaa? Kula kimasihala huwa ni ghafla bin vuuuu vikojoleo vishaungana na story yake huwa na maelezo machache tu. Nikiona maelezo meeengi napita tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@kabanga kiongozi, unanihamasisha kabisa niandike dhambi zangu hahah!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…