Mkuu mtumie hiyoo pesa mama yake kama vipi kwa ushauri wangu lakini.

Sio kwamba ni weakness hapana ila kwa utu tu. Mtumie angekuwa anataka yeye sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuma pesa kwa mama
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baharia, inawezekana huyo dada alitoa utamu kwako ili kupata pesa ya kutatua changamoto alizonazo mama yake. Just make it a fair game. Tafadhali, mtumie mama hiyo pesa, au hata nusu yake. Fanya iwe win-win situation. Hii imenigusa sana.
 
Oya hapa hatujakusoma mzee baba, huyo dem umemzingua knoma alafu sio fresh wala nini. Mpe hiyo hela
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa. Amtumie huyo mama hata 50k kama hawezi hiyo 100k.
Otherwise Karma won't forget his address.

nyoka hana tako

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nyoka hana tako. Ahahahahaha
 
Nimeumia natamani huyo manzi hata nimtumieee.


Mkuu hebu tuma pesa uje utupe feedback mzee.

Ukishindwapia sema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukiwa mtu wa uvinza...yaani uvinza ikishakaa damuni....hyo kitu inakuwa involuntary action....yaani unaweza nunua hata kahaba pale corner bar ila ukajikuta umezama chumvini halafu wakati wa kumtia unatumia ndom..hahahaaaaaa.
duuh
 
Brother,, Fanya kumtumia mama wa huyo binti hiyo ela...hesabu kama moja ya mambo mema uliyoyafanya mwa huu. Haujui mama ana shida gani. Yes you f*cked her but it wasn't for her own pleasure....She was doing it for her mother...I bet she didn't enjoy the sex.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah 😓😓😓wanaweza kukuua awa viumbe aisee
 
Tuma pesa kwa mama

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine unaweza ukadhani ni mama yake kumbe wana laini mbili ,

Hiyo mm ilinikuta nilikwapua demu huko badoo tumeingia room anadai hoo nyumbani kuna kikao halafu hamna mahitaji sasa nataka umtumie kwenye mpesa !

Nikamuuliza umenipa hiyo hela ya kumtumia akaanza bona uko hivyo ....basi tuache siku nyingine sasa

Nikamwambia basi poa .....ondoka akaghuna mmh njoo basi akashuka mpk sh 15000/- tuma kwanza nikatuma

Nikala mzigo halafu nikaomba kuirudisha ile hela demu ameshaondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…