Sijaimaliza kusoma ila ni Tea ya baridi, ina tangawizi nyingi, majani kaweka pakiti yote ya jero so ishakuwa ya uchungu , katia karafuu kwa mbali ila hamna sukari

Sijasoma mpk mwisho nimeishia pale nikaitwa hotel nkapakiwa na gari ile kufika nafunguliwa mlango kaa bla na bikini asee hapo nimeona ni Chai kabisa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi watu wanaodai hizi stori ni uongo wanaweza kuthibirisha au ni kujimwambafai na kimbelefronti tu

Chai chai kwani ulikuwa naye? Pia kwani umelazimisha kupita mitaa yenye chai nyingi! Kuchamba kwingi tu. Leteni zenu zenye uhalisia. Wivu unawasumbua sana na mtakufa na kijiba cha roho

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi wako hata siyo mkali,
Wewe ndo unaponda nyuzi za wadau mara kibao? Acha hizo jifunze kukubali cha mwenzio alafu andika vizuri mzee .

Kila siku demu wako alikuwa anaosha vyombo tu siyo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimekumaind makusudi acha kuzingua nyuzi za wana nakuona sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kusoma visa vingi humu, Doggy ni staili penda sana hasa unapokula tunda kimasihara.Maana kila mdau aliitumia na show yake ilikubalika mpaka wengine wakapewa zawadi kabisa kwa kazi nzuri yenye viwango vya kuombwa mechi irudiwe.
 
Faza hii chai kabisa
 
Koh kohh kohh nimepaliwa na tangawizi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
EATV ilivyo sababisha nikamla kimasihara....

miaka ya nyuma kipindi nasoma o-level kuna binti mmoja wa kichaga nilitokea sana kumpenda
alinifanya nikapata ufaulu mdogo, nilikuwa namuwaza muda wote ata nikasahau masomo.
katika harakati za maisha baada ya kumaliza chuo, nikawa nafanya kazi chini ya ofisi moja ya mkoa fulani
hapa nchini.

ghafla bi vu....! kukawa kuna sherehe za makabidhiano ya ofisi, mkuu wa mkoa huo alikuwa amepanda cheo,
ikafanyika ghafra fupi ya makabidhiano ofisi kwa wakuu hao wa mkoa,

nikiwa kijana mdogo kabisa mwenye miaka 20+ tu nilikuwa miongoni mwa watu muhimu nilipata bahati ya kukaa
siti za mbele kabisa pembeni yangu alikuwa kaimu kamanda wa polisi wa mkoa {nyota zimejaa mabegani}
alikuwepo kamanda wa magereza, makamanda wa majeshi {wote wakiwa na nyota za kutosha nyingine wameweka kwenye magari yao}

na mimi nilikuwepo kijana pekee ambaye hakuna aliyekuwa anajua kwenye kile kikao kwanini nilipewa kipaumbele cha kukaa siti za watu muhimu namna ile. tukio hilo lilirushwa mubashara kwenye chaneli mbali mbali ikiwemo EATV. ikawa bahati nikapata fursa ya kuongea watanzania wengi walinisikia na kuniona kwenye video,

baada ya lile tukio kuisha nilipokea simu nyingi sana kutoka kwa marafiki zangu, wakitaka niwatafutie kazi
kwa bahati bwana miongoni mwa simu niliyopekea ilikuwa ya yule binti ambaye nilimpenda sana, tulizungumza mengi kisha akaniambia kuwa ameniona kwenye TV, eti anadai nimekuwa na anatamani kuniona doh.....!

sikufanya makosa kabisa, tukapanga baada ya mwezi nikamtumia nauli, alifikia kwenye hotel kubwa, nilimt*mba kwa hasira usiku kucha, sikuhisi utamu wowote, alikuwa ameshatumia, akiwa bado amelala alfajiri niliamka bila kumuamsha, nikamuachia nauli kama 100k hivi kisha nilimblock kwenye mawasiliano yote.

siku wasiliana nanae tena hadi leo na wala sina mpango kabisa wa kumtafuta. hapo ndio niliamini ule msemo unao sema "unae mpenda hakupendi, anaye kupenda humpendi"

WANAWAKE TUKI WAPENDA PENDEKENI MKISUBIRI TUFANIKIWE NDIO MTUPENDE, MTAKUWA MNAKOSEA.

kumbukeni kuwa mwanaume huwa na kipindi maalumu cha kumpenda mwanamke, kipindi hicho kikishapita uvumilivu nao unaisha kabisa, akitokea mwingine akaokota pendo lile la mwanzo hufa kabisa.
 
et nyota nyingi mabegani na nyingine wameweka kwenye magari yao hahahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUU UZI UPEWE HADHI YA KUA UZI BORA TOKA JF IANZISHWE..
Nazi za huu Uzi ni
..kuondoa stress
..kuelimisha
..
..Kuburudisha
..kuongeza msukumo wa damu
..kupunguza kisukari
..kulainisha ngozi
..kuondoa chunusi
..kutibu kikoozi
..kuongeza hamasa
..kupunguza ukali wa maisha
..kuongeza kumbukumbu
..kuongeza uwezo wa kuona
..kuongeza concentration
..kulala usingz mnono
..hufanya mtu kujiamini zaidi
..kupunguza baridi
..kuongeza joto
..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakazia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…