Mkuu ulisolve vipi msala?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilifanya mengi ikiwemo kupeleka maua na birthday cake ofisini lakini haikusaidia, mwisho niliamua kwenda nyumbani kwake, wanaishi eneo lililozungushwa uzio na ndani kuna nyumba kadhaa.
Nilifika saa tatu usiku akakataa kufungua mlango, nikamwambia nitalala hapo barazani. Nikavua viatu nikakaa hapo kwenye kibaraza chake. Saa saba usiku akafungua mlango akanikuta nipo nimeegemea ukuta.
Akaniambia embu ingia ndani na utalala sebuleni leo, nikaenda kuoga nikajilaza kwenye sofa.
Baada ya muda kaja na shuka akanitupia huku amekunja sura.
Nikamwambia nifanye chochote ili tu unisamehe hata kama ni kuniua wewe niue tu huku machozi yanalenga lenga machoni, binti akaja nilipolala akanipiga mabao ya kutosha mgongoni huku akilia , why why umeufanya hivyo lakini?!; Hapo hapo nikaishia kula tunda na kama mjuavyo mwanamke mwenye hasira huwa anainjoi sana sex akiamua kukupa. Nikamtandika pale pale sebuleni na nikapewa msamaha wa masharti mazito sana.
Mwisho wa yote alinisamehe na maisha yaliendelea.b

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Mkuu huyo demu ana nini cha ziada kilichokufanya mpaka umbembeeze kiasi hicho au Love tu?? Ulimuoa au???au alikuwaga anakupa nanilio????
 
Na zawadi yako ukapewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kiboko. Kuna;
1. Onesome: Punyeto
2. Twosome: Jambo la kawaida
3. Threesome: Adventure
4. Foursome: hii sijui ni nini

Bazazi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…