Aiseeeee.

Gen Z kanogewa na dingi. Sasa ni mchepuko wangu rasmi. Wiki ijayo naenda Mbeya, nimeshamset nikamle tena.
Anogewe na nguvu za kuku? 😹

Sema hivi kapata pa kutatua shida zake za kifedha, hakuna binti anayeacha watu wa rika akamchukua babu yake kwa mapenzi..!!

Hapo unajilsha upepo tu..!!
 
Hii sio kula kimasihara. Mlishatongozana
 
Anogewe na nguvu za kuku? 😹

Sema hivi kapata pa kutatua shida zake za kifedha, hakuna binti anayeacha watu wa rika akamchukua babu yake kwa mapenzi..!!

Hapo unajilsha upepo tu..!!
Haya umeshinda bosi. Kuwa na usiku mwema.
 
Na shemeji yupo sekondari Hana bkr, kweli vitoto 2000 balaah, ila sio swala la kujivunia na ni kinyume Cha maadili
 
Kama umeishaonja utamu na umeusifia kwamba kitu tight, nategemea lazima mechi itarudiwa tena na tena, tena na tenaaa..
 
Mbona unaanza ikana nyeto ndugu ?
 
Practice practice make it perfect.

Jana nmetoka zangu viwanja , nipo road si nakutana na manzi ya mtaa mmoja afu hua namzimia sana.

Nkamchukua kwenye kausafiri kangu. kwasababu tunaanza kufika kwangu kwake ni mbele ila kwa mguu ni mbali kwssababu ilikua mda ushaenda mtoto kagoma kuondoka visingizio vya kuogopa.

Nami skutaka kujifanya nataka nimpeleke, mana wema huo sina, nkasema tu asalale leo mbuzi kafia kwa muuza SUPU nmelala saa 8 leo , hivi nnavo ongea mtoto yupo nje anafua jeans zangu daah wanawake.

Anyway ngoja nipumzike saa 7 nistue tena then nimpeleke kwake. 🤪

KIMASIHARA IDUMU MILELE 👑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…