Mambo ya kula tunda kimasihara hayoπ πnimecheka sanaπ π π π watu ni wachafu mno asee
Sijawahi zaidi ya kula mahindi ya kuchemsha,mayai na maziwa mgando huku natabasamu wananchi wanavyonikata macho makali.nilikuwa natoka Dar kwenda Mtwara mwaka 2017 nilikaa siti ya nyuma na mrembo wa kimakonde, nafupisha stori nilima kwenye siti ilipofika sa mbili uck.
Mayai na karangaπ¬Sijawahi zaidi ya kula mahindi ya kuchemsha,mayai na maziwa mgando huku natabasamu wananchi wanavyonikata macho makali.
kelele vipi?nilikuwa natoka Dar kwenda Mtwara mwaka 2017 nilikaa siti ya nyuma na mrembo wa kimakonde, nafupisha stori nilima kwenye siti ilipofika sa mbili uck.
Sahihi.Unakula kwa madaha sana huku unamwambia jamaa aliye upande wa dirishani akununulie maji ya jero.Mayai na karangaπ¬
alikuwa anajikazakelele vipi?
Muda huo jamaa hajafungua kinywa masaa nane, usiombe akuulize hapa ni wapiπSahihi.Unakula kwa madaha sana huku unamwambia jamaa aliye upande wa dirishani akununulie maji ya jero.
na wewe je?alikuwa anajikaza
Unaishi naye kindugu tu hadi mwisho wa safari.Hamna namna.Muda huo jamaa hajafungua kinywa masaa nane, usiombe akuulize hapa ni wapiπ
Huu uzi nilikuwa siujui kumbe upo hot hiviMuda huo jamaa hajafungua kinywa masaa nane, usiombe akuulize hapa ni wapiπ
Aisee! Ni kazi lakiniπ€’Unaishi naye kindugu tu hadi mwisho wa safari.Hamna namna.
HahahahaHuu uzi nilikuwa siujui kumbe upo hot hivi
Hujambo mshangaziHahahaha
Sijambo dogo vipi?Hujambo mshangazi
Mishangazi ya jfSijambo dogo vipi?
Unazunguka tu kwenye uzi wa watu wenye bahatiSijambo dogo vipi?