Hapo kalipa kisasi na hajakumbuka kutumia condom ndio maana tunaambiwa kuwa makini sana na mwanamke🀣
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Watakuwa walipima, maana Code 12 ni Mzee wa kutembelea rim, hapendi ndom kabisa
 
Daaaah aiseee....Hatare sana
 
Sema bila shaka Muigai ukikumbuka moments na mzee ako (a.k.a NDULI) unabaki unacheka menyewe na kama yupo hai ukimkumbushia bila shaka mnacheka pamoja..Anyway wazee wetu wengi ndivyo walivyokuwa...Now tukikumbuka zile moments tunajikuta tunacheka na mzee ukimkumbushia mnacheka wote... R.i.p Baba..
 
Yani alifika tu nyumban baada ya kula akaenda kuoga wakat hata kuomba mzigo haukuomba si ulisahau kumtafuta? Au imekaaje hii mjuba mbona kama manzi Ni kicheche mzoefu
Alishaelewa somo kaitiwa nini, ndiyo maana akaenda kuosha mali kabisa πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
 
Bro ni baharia mzoefu..Alimaliza kesi kibingwa kabisa
 
mzee mzima ulinusurika fumanizi...
 
babu kwa zipu alikuwa akinilaumu...Baharia umetisha sana
 
Daaah hii ya kuhudmu

Daaah hii ya kuhudumia mimba hewa na mtoto hewa noma sana...Ishawahi kunipata, DAAAAh aieee sio poa
 
Sem
Sema mwamba na wewe noma sana...Hadi shoga wa mkeo nae pia unapiga....Daaaah aiseee
 
Yaaani! Nlikua nahudumia mtoto hewa kwa miez 6 jumlisha nayeye mwenyewe emb fukiria gharama za kulea mimba kuanzia miez 3 had mtoto anakuja kufikisha miez 6 kumbe hewa!! Ningejua uchawi ningeroga mtu ila kwa sasa nashukuru Mungu life goes on
Daaaah maumivu yake nayaelewa..Yashawahi kunikuta, halafu kumbe mimba yenyewe imetoka kitambo...

Kuja kuujua ukweli wote, tena kwa kuambiwa na rafikiye kila kitu..Ilibidi shost wake nimpe zawadi kabisa ya kuniambia ukweli, na kusitisha huduma kwa speed ya 5G...
 
D
Duuuuh aiseee...Ni binadamu na nusu..
Sio kwa mkia huo....Sikulaumu kuzama hapo πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ
 
Unyama ni mw
unyama ni mwingi....Ulishasamehewa tayari kitambo sana kwa story yako ya moto ka hii..Hongera sana
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mkuu umepitia uzi kimya kimya!,umenikumbusha mbali hakika.
Mzee Nduli yupo sana tuu,hana makali kabisa .
Natamani sana kupata muda mzuri ni pitamo kwenye uzi huu adhimu wa mzee rickboy .
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mkuu umepitia uzi kimya kimya!,umenikumbusha mbali hakika.
Mzee Nduli yupo sana tuu,hana makali kabisa .
Natamani sana kupata muda mzuri ni pitamo kwenye uzi huu adhimu wa mzee rickboy .
Sawasawa Mkuu..

Wakizeeka wanakuwa wapole .

Ila ukikumbuka zile moments unabaki unacheka tu
 
Yaani nilikusudia kumpa sakramenti ya kusadiki katika Mimi! πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ˜€πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£


Mwamba umetisha sana..πŸ˜€πŸ˜€πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…