Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Yaan uwe na nguvu had booster?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Poleee Brooh
Asante mkuu sio poa yaan😂
 
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga.

Mimi niliona status demu flani ninaemkubali kaandika Ineed somebody to talk to aisee nikampigia video call kumbe alikuwa analiaa nkamwambia upo wapi? Akasema yupo hostel anaugulia maumivu bwana ake kamla rafika yake na ana ushahidi aisee nkamwambia pole sana.

Vipi tutoke bhasi ukapoteze mawazo kidogo? Akasema twende tu me nshachoka kuumizwa. Aisee ile siku sikuamini nilihisi ni ndoto japo baada ya tukio akaniblock kisa nilimpost demu wangu. Na yeye akampost jamaa eti ili anikomoe nkasema wanawake bhana.

Je, vipi ushawahi kula tamu kiutani utani tu? Mlidumu kama wapenzi baada ya kumla?

===========

TAKE NOTE:

===========

Moderator: Hii thread imerejeshwa na owner wa mjadala amekuwa rikiboy kama ilivyoombwa na wadau. Mnaombwa kuzingatia lugha katika uwasilishaji wa maoni
1752055816480.jpeg
 
Back
Top Bottom