Koh koh koh.
 
Ishia kukohoa tu, usilete stori ya ulivyokula kimasihara
Mwasibu unadhania nina stori basi hamna nimeuona huo uzi nikasema nisome post za mwisho ndo nikakutana na hiyo ikabidi nikohoe tu. 🀣

Huyo Grahams ananikimbiaga kimbiaga wakati namjua ni jirani yangu mmoja huku Manyovu. 🀣🀣
 
Hapo sawa, nilivyoona umepost humu niliogopa. Nikadhani umekichafua 🀣🀣
 
Mambo ya Mwaka 47 hayo, sasa umri umetutupa Mkono 😜
 
Mbaga Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…