Mimi pia nashuhudia kupokea kimshara!!
Kuna jamaa mmoja kiukweli alikuwa ananivutia mnoo ,Nilitamani japo siku moja anise kwenye rada zangu !!Shida ilikuwa kubwa kwani alikuwa na familia yake!!
Basi nikashkuru kimoyomoyo nikakaa mbali nae huku moyoni dah najikaza kikeπŸ˜‚πŸ˜‚!!Mungu ana makusudio yake kumbe jamaa ananitafutia sababu ya kunianza ila sijui domo zege πŸ˜‚πŸ˜‚!!sema nini Waallah sikuwahi kuona hata dalili kumbe na lenyewe linaugulia kiaina !!
Basi siku moja akaomba nimsindikize kwenye mambo ya watu wa kale ( makumbusho jamani wapi na wapi?Nikakubali lkn moyoni naomba japo mtu ateleze!!wanawake tunapitia magumu tukipenda acheni tu!! Tukamaliza mzunguko tukafika kwenye makaburi ya masharifu tukaambiwa hapa ukiombq chochote kizuri Mungu akipenda dua inapokelewa !! Yule jamaa akasema kwa sauti naomba fulani yaani mimi aje kuwa mke wangu !!Look pata picha nilibaki kidogo nipige yowe nilishtuka ule mshangao nikaropoka !! Hivi unakisikia ulichoongea akasema ndio tena mkavu hee nikaonq mzaha tukaingia garini tukaondoka !!Cha kushangaza hajanieleza chochote!!
Ikawa kila siku lazima anisalimie !! Siku moja nikaona nilipe fadhila na mm nianze kusalimia ile napiga ikapokelewa haraka eti akasema unanipigia tukutane hoteli ee basi nakuja ! Mie tena loooh hotelini tena ?? Namimi nikajibu kwa utani wewe mimi siendi hoteli na mtu goigoi kama wewe mtu mwenyewe mpole hivyo kuongea shida naona umezoea kuingia sub huwezi kucheza ddkk90!!! Akacheka sqna !!ila jamani msidharau watu kimuonekano !!!
Siku ile hakuja akapiga yeye siku nyengine naomba nisindikize sehemu mie sawa!!
Safari ikakomea hoteli mie tena khaaa!!Eti nina jambo la kuongea faragha sio longer tu mpak twende faragha !! Eti anaheshimika tuongee ndani hanifanyi chochote !!
Alifungua milango ya gari qkajua kunishika mkono nikafuata kama msukule !! Hupo ndani sasa malango uliachwa wazi eti niwe na amani!!!
Sikumbuki zile nguo zilitolewa kwaustadi namna gani mtu aliomba kumbato tu lkn kilichofata mwenyewe nilitoa amri ya mlango ufungwe !!
Jamani alichonifanyia yule jamaa kwanza nimekoma kumuita goigoi !!
Ilibidi nijibu mapigo mara dufu kuepuka matusi kunirudia halafu niliona golden chance never come twice niliwajibika vilivyo mashallah nitaqchwa kwamengine lkn sio kwa kupika ama shughuli ya uwanjani!!!
Kwa sasa ni mume wangu japo mimi nimeolewq mke wa pili!!
MASKHARA HAYA ILIKUWA MECHI MUJARRRAB JAPO NILIONDOKA NA AIBU NILILIA NJIA NZIMA KWA KUJIONA MRAHISI LAKINI UKWELI WA NAFSI NILIKWAMA YULE JAMA NILIMPENDA BALAA !! Na yeye alipata tiba aliyokuwa anaitafuta akaoa !!!
Mpaka Leo ni mume wangu !! Maskhara ikawa kweli
 
Bado uko nae
 
Wakuu leo nikasema nijaribu mbinu moja ya kibaharia nione kaka itafanya kazi..

Nilichukua karatasi zangu 3 za kuweka miamala CRDB zile receipt nikazichana yakabaki yale maandishi juu ya CRDB,Then nikachukua peni nikaandika namba zangu kwenye karatasi zote 3..

Katika pitapita zangu nikafanikiwa kuwapa wasichana wa 3 zile karatasi zote 3.Mmoja nilimpa K.koo alivaa pete niliona mkononi nikajikaza kiume akasisita sita ila akapokea.

Mwingine nilimpa kwenye daladala karibia na kituo ninachoshuka akapokea.Wa mwisho nimempa jioni hii wakati naelekea mazoezini.

Nipo hapa nasubiri mrejesho yupi aanze kunitafuta nije nimle kimasikhara na nitawaletea hapa wakuu.
 
Hizi familia hizi duuh
 
Bado unawala
 
Bado yupo au ukimwi umemuua
 
Unajua nimeanza kupoteza kumbukumbu ujue, maana story zangu nyingi ni za Mwaka 47 😜
We mzee muhuni sana sema story zako nzuri kinoma yule dem wa mbeya uliyekutana naye kwenye usafiri ulimfaidi sana manina na jinsi ulivyo describe lile tako lake ndo kabisa 🀣 daaah sema unajua kuhadithia nimesoma visa vyako viko vizuri asee hongera ✊
 
Duuh uliwafaidi asee vipi uliendelea kuwatafuna hadi lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…