Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,758
- 43,321
,Habari za jumapili watanganyika wenzangu?
Hebu tupeane experience,ushawahi kutoka kimapenzi na mdogo wa mshikaji wako,ilikuaje kuaje na mpaka saivi status yenu iko vipi?
Mimi kiukweli kuna mshikaji wangu haswa wa kushibana,nina mahusiano ya kimapenzi na mdogo wake na tumezaa nae mtoto mmoja but mshikaji hajui lolote mpaka leo na huu ni mwaka wa nne jamaa hajashtuka kitu.
Iko hivi huyu mdogo wa mshikaji wangu nilianza kumuona baada ya yeye kuwa amemaliza darasa la saba miaka mingi tu nyuma huko,so ktk harakati za hapa na pale me sikuwahi kumuona tena but kaka yake tuliendelea kuwa washkaji wa karibu sana tu,sasa baada ya miaka mingi kupita huyu demu akawa kamaliza form 6 na ilitakiwa kujiunga na chuo kikuu tena kozi ambayo mimi nimeisoma,so ktk harakati za kutaka kujua abc za hicho chuo na kozi niliyosoma akapewa number yangu ili mimi ndo niwe kama muongozo wake,akanicheck nikampa abc zote akaenda chuo,kwa wkt ule mimi sikua na time nae coz nilimuona kama mdogo wangu tu ingawa ni pisi kali haswa...so siku moja ilikua Christmas nadhani nikaona kanicheck kuniwish heri ya sikukuu nikamuuliza yuko wapi akaniambia kalala tu hostel coz hana pa kwenda,me nikamtania yani mtoto mzuri ka wewe unakosa pa kwenda?akaniambia ndo hivyo yupo tu,shetani akaniingia nikamwambia mida flani ya jioni aje mitaa flani walau anywe bia mbili tatu,kweli mida ilipofika akaja,tukala na tukanywa,akaniambia yeye siku hiyo harudi hostel hivyo nimtafutie pa kulala,nikamwambia twende kwangu tutalala mzungu wa nne....basi kwenda ghetto me nikajipigia kisela,nikajua labda ilikua ni just one night stand kumbe pisi ilikua imeelewa mchezo,yakawa ndo mazoea kila weekend akawa ndio kama mother house lazima aje kwangu kufanya usafi na kuweka mambo mengine sawa,nimemla weee mpaka akamaliza chuo,bahati nzuri baada ya chuo akapata kazi bank flani hivi kubwa tu bado nikawa naendelea kumla,akapata ujauzito tukakubaliana asiseme ni nani aliyempa hiyo mimba..so mimi mpaka leo bado namtia huyu manzi na sina mpango nae wowote wa kumuoa.jamaa yangu nae hajui kama mimi ndo nimemzalisha dada yake mpaka leo.
Je kuna mwingine ashawahi kupitia hii scenario kama yangu?
Hongera sana mkuu πMimi ni mstaafuu
Safi sana kijana, umetuwakilisha vizuri. Ila siku moja itafahamika kuwa mtoto ni wako maana ukweli haufichiki.Habari za jumapili watanganyika wenzangu?

EeehHivi hakuna za bj za kimasihara ee...
Siku wakianzisha bj za kimasihara mnitagi nije kutoa ushuhuda
Sio mimi huyu..zilisikika balimi zikizungumza
Naombeni bia ya mwisho niondoke bia ni safari sitaki Serengeti afu supu ni ya moto, ponda Mali kufa kwaja
Ponda Mali kufa kwaja πππ¨π¨Naombeni bia ya mwisho niondoke bia ni safari sitaki Serengeti afu supu ni ya moto, ponda Mali kufa kwaja
Kuanzia Leo mm na mitungi nii noop mm wakuitwa secretary bird daah ngachoka sanaPonda Mali kufa kwaja πππ¨π¨
Pombe ni afya, ni ujasiri na ni uhai.Kuanzia Leo mm na mitungi nii noop mm wakuitwa secretary bird daah ngachoka sana
Kuna mabikira tuuPombe ni afya, ni ujasiri na ni uhai.
Mbinguni hakuna mitungi!
Napenda mabikra Ile mbaya!Kuna mabikira tuu
We ushawahiWatu wengine wanaona haya mambo hayawezekani kabisa,kumbe ukiwa mzoefu mambo madogo tuu hayo. Watu washakula Maza,Maza akaunganisha mwanae nae akaliwa,akaunganisha wofi nae akaliwa.
Duuh1.Anaitwa.....mariam
2.Anaishi....mabibo-dar es salam
3.Amesoma....Loyola,,,Tambaza na mzumbe university.View attachment 1958653View attachment 1958654View attachment 1958656View attachment 1958657View attachment 1958658
Tafuta siku nzuri nenda zungumza naye kiume. Kama huwa mnaonana mueleze wazi unahitaji kumuona kuna jambo nyeti mnahitaji kuliweka sawa. Muombe msamaha na umweleze kuwa wewe ndio mhusika wa mtoto wa mdogo ake. Kama muelewa atakuelewa tu ila sio hiki unachofanya.Jamaa mwenyewe huwa ananikubali sana,leo tu katoka kunicheck tukawa tunajadili mgogoro wa israel na iran maana jamaa ni team israel kindaki ndaki
Nimekupata mkuuTafuta siku nzuri nenda zungumza naye kiume. Kama huwa mnaonana mueleze wazi unahitaji kumuona kuna jambo nyeti mnahitaji kuliweka sawa. Muombe msamaha na umweleze kuwa wewe ndio mhusika wa mtoto wa mdogo ake. Kama muelewa atakuelewa tu ila sio hiki unachofanya.
Hili huwezi kulificha ni swala la muda. Siku akigundua yeye na wakati ulikaa kimya mnaongea Kama hakuna jambo limetokea itakuwa mbaya. Kibaya unasema huna malengo na mdogo ake.
Hahaha...........wapo, si unajua enzi zetu tulioa wake wengi. Sio kama nyie, mke mmoja anawashinda πKwani bibi yuko humu! π
Unaamka na uchoovuu mwingi aya jumatatu nyingi TUKA KIMBIZEEE PESAANaombeni bia ya mwisho niondoke bia ni safari sitaki Serengeti afu supu ni ya moto, ponda Mali kufa kwaja
Hapo inabidi umuoe tu huyo binti, vinginevyo jamaa hawezi kubali mdogo ake awe singo maza, afu wewe uoe mwingine.Jamaa mwenyewe huwa ananikubali sana,leo tu katoka kunicheck tukawa tunajadili mgogoro wa israel na iran maana jamaa ni team israel kindaki ndaki
Asante kwa ushauriHapo inabidi umuoe tu huyo binti, vinginevyo jamaa hawezi kubali mdogo ake awe singo maza, afu wewe uoe mwingine.
Naam Dr tupo mzgoni tunakimbizana na zege kushuka na kupanda juu ,Unaamka na uchoovuu mwingi aya jumatatu nyingi TUKA KIMBIZEEE PESAA
Siku izi Kuna mechanization sio kama enzi za kujenga ma pyramid enzi za farao.Naam Dr tupo mzgoni tunakimbizana na zege kushuka na kupanda juu ,