Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,580
Kuna ugonjwa mpya wa mabaka mabaka umeingia unaambukizwa kwa kugusana, sasa wewe endelea na ukitibu ngozi inabakia na makovu ya mabaka mabaka unakua km umevaa Gwanda la JWAsanteni. Ni asubuhi sasa twendeni tukalijenge taifa.