Konda wa bajaj
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 936
- 1,479
Acha uongo.s soma uelewe
Acha uongo.s soma uelewe
Hiyo ni aina mojawapo ya lugha za kipumb.avu ambazo vijana wanazitumia kuandika matusi mitandaoniKwann unataka tuzingatie neno TUNDA?!
Bunge la Irak limemaliza kurasa zote za maandishiKwann unataka tuzingatie neno TUNDA?!
HahahaIla mods mnazingua kinyama uzi wangu ulikuwa unarenga maswala ya kuoa watoto wadogo....yaliyotokea huko Iraq kwa waislam ndio maana nikaweka kufuri na funguo nyie mmeenda kuunganisha nyuzi ya kula kimasikhara..........mnaboa kinyama
fala wwKuna mmoja nilimkula for first time baada yeye kunitaka muda...sasa tuko room, yeye ni mwembamba na ana watoto 3, kwanza nkaona hiki ni nini 😂😂😂...tu-lake tumelala kama popo wawili wameng'ing'ia 🤣🤣 halafu kaja sijui kala hindi la kuchomaa aaah 😂😂, nikapigiwa simu kama ilinisadia kupunguza munkari wa uwepo wake ila dah haaaa heck never again 🤣🤣🤣
DuuhNakumbuka mwaka 2015 nilikuwa nimetoka zangu skuli. Nilikuwa nasomea shule moja inaitwa Kasangezi iko kasulu. Sasa nyumbani kwetu kulikuwa na nyumba ya jirani ambapo kulikuwa na vyumba vya kupanga.. sasa baada ya mimi kurudi nilikuta kuna mzee mmoja kahamia hapo yeye na familia yake ..alikuwa na binti mmoja umri sawa na mimi.
Binti alikuwa anasoma sekondari ya kata pale kwetu. Nakumbuka wakati nimefika sikuwa na mazoea nao hata kidogo.. sasa siku moja naenda bombani kuchukua maji ya kuoga nikawakuta.. sikuwa hata nalijua jina lake ila nikashangaa ananijua jina. Akaniita "Nur boy" nikashangaa sana kalijuaje jina langu.
Nikamuitikia akaniambia 'sijawahi kukuona umekuja kuchukua maji Leo vipi' nikamjibu 'sasa unashangaa nn mimi kuja kuchukua maji wakati sina mke? Akacheeka akanambia kumbe una maneno hivyo.. nikamwambia mbona kawaida tuuu.. basi tukatambuana kihvyo tuuu nikasepa zangu
Sasa baadae niko zangu ghetto nashangaa hodi kufungua namuona yule binti. Nikashangaa sana yani nikamkaribisha ndani akaingia then nilipomuuliza shida akaniambia eti amekosa kampani ndio maana kaifuata kwangu.
Kufupisha ni kwamba nilikaa nae mpaka muda wa xaa 1 na nilimla maana alianza kuleta shobo kwangu.. basi ikawa ndio utaratibu mpaka Leo nina miaka miwili tangu nifunge nae ndoa na ndio mke wangu na mwanetu Ikraam
Duh Nini sasa mjomba na ikramDuuh
Ila Azini na mwanaume mwenzie?Imeandikwa..View attachment 3197544
😅 ila mkuu Mungu anakuona aisee🤣🤣Nasisistiza comrades
Ongezeni story msiogope najua mmekula wake za watu sana
Nyie wekeni wakili wa kuwatetea nipo na ofisi yangu ipo