Hongera sana mkuu naona una nyota ya wanawake mkuuu hongera
 
Nilisubiri Kwa Ham Story Ni Tam San, Kati ya Nilizo wahi Kuzisoma Hum, Jordy05 Ukipata Mda Leta Mzigo Mwingne.
 
Safi sana kiongozi.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Vzuri
 
Hatariiiiii
 
"What a Touching Love story" Machozi yalikua yananilenga lenga..Hakika nyinyi Mungu alikua na kusudi lake.

What a lovely story! Hongera sana mkuu na familia yako! Pia hongera kwa wazazi wako kumkubali mwanamke aliyekwisha zaa kumbe ilikua ni zawadi yako! Endelea na upendo huo huo!
 
Chai
 
To lake= tu ziwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…