unaishia kusonya tu
Ukweli unaambiwa wake zenu/zetu wanakosa uhuru katika mazingira ya nyumbani/mtaani. wakipata mwanya wa safari hizi za kiofisi au biashara huko anajiachia bse hakuna anayemfuatilia. Akipata fursa yeyote lazima aitumie ipasavyo. Kitu kingine wakiwa safarini akikutana na mwanaume anayemjali walau kulipa lipa bill za hapa na pale anasevu hela kama msosi, vinywaji au hata lodge kupitia mgongo wa huyo aliyekutana naye huko safarini. Ni wajanja sana aisee.
 
Usinge delete namba kuna wengine tunaitaka
 
Chai ya sukari gulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…