cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,379
- 188,086
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niko ndoani, mume ninae afu hana haraka ya maisha.Hahahahahaha cocastic yupo kwenye ndoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niko ndoani, mume ninae afu hana haraka ya maisha.Hahahahahaha cocastic yupo kwenye ndoa
Hauna mdogo wangu tusaidiane kuzila hizi pesa maana pekee angu siwez kuzimaliza...pm iko wazi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niko ndoani, mume ninae afu hana haraka ya maisha.
Leteni visa wadau Kuna beki Tatu kaja home ,subirieni kisa Cha kumla kimasihara kitakuja soon.
Ushapona gono....au sio diazepam wewe?Wakuu mwaka unaisha huu, nna visa kibao vya masihara. Ila wamama watumishi huwa wanahitaji sana haya mambo sema tu utumishi unawabana.
Unakaa kwenu kumbe...kazi tunayo sisi wazaziLeteni visa wadau Kuna beki Tatu kaja home ,subirieni kisa Cha kumla kimasihara kitakuja soon.
Ndiyo nishapona kaka.Ushapona gono....au sio diazepam wewe?
Ni ceftriaxone ulitumia auNdiyo nishapona kaka.
2g stat then nkaendelea na azithromycin+doxycycline.Ni ceftriaxone ulitumia au
Sawa jamii ya gonococci imelisikia ilo......cefixime ulitumia?2g stat then nkaendelea na azithromycin+doxycycline.
Nimepona naendelea nilipoishia.
Acha watu wale kimasihara hicho ki health centre utapata wapi wateja?Sawa jamii ya gonococci imelisikia ilo......cefixime ulitumia?
Sio huyo yule anaitwa dopamine dopamine-BUshapona gono....au sio diazepam wewe?
Umeona eeh.... hahahaha niliwahi fanyia maabara Tandale na Tandika Gonnorhea na syphilis ilikuwa ina react kama mvua..Acha watu wale kimasihara hicho ki health centre utapata wapi wateja?
Wakuu kuleni tunda peku, maisha yetu yanaendeshwa na ninyi kuumwa sasa mkiwa wazima tutakufa na njaa.
Wewe ndio hujui sasa. Kiarabu umesoma soma wapi?Ulisema Mungu akurehemu means unataka akupeleke kuzimu
Muache kutumia maneno kama amjui maana yake
Ndio maana mtu akifa tunasema
Allahu mafirrahu warhamahu waskana WA fii Janna
Dah we jamaa bwana eti akurehem akupeleke kuzimu?Ulisema Mungu akurehemu means unataka akupeleke kuzimu
Muache kutumia maneno kama amjui maana yake
Ndio maana mtu akifa tunasema
Allahu mafirrahu warhamahu waskana WA fii Janna
Hauna cha umaster we ndio hujui. Sasa tunaposema Mungu awarehem waliotangulia maana yake awapeleke kuzimu?😀😀😀Wewe kubali umekosea Tu huwez sema Mungu akurehem ukiwa hai.kama Una hoja za kutosha kuhusu kusema Mungu akurehemu ukiwa hai njoo
Unaongea na Master katik angle hiyo
Acha kumtukana mwenzio wakati we ndio unapuyanga.Wewe ni mazabzab lugha ni moja hakuna kwa dimension nyengine
Unapokosolewa unabidi ukubali mpumbavu mmja wewe
[emoji1787][emoji1787]Watoto wa Zama hiz shida
Yaani unakaa kwenu pimbi weweLeteni visa wadau Kuna beki Tatu kaja home ,subirieni kisa Cha kumla kimasihara kitakuja soon.