Una majini ukishapata ngoma yatakuacha
 

Kiharufu cha "MBIKO" ndo kipi hicho kaka?







 
Duh mzee

Cheupe akijua utawakosa wote
 
Mkuu watu wananyonya aisee!
 
Unaishi kwenye dunia ipi mkuu mbona ni vitu vya kawaida Sana hivyo
 
natafuta mwanamke anipende tu daily communication kama dada mama mpenzi nitafurahi
Tafuta mpenzi tu kaka, hakuna mwanamke utawasiliana nae daily hali ya kua sio mpenzi wako. Mtaanza vizuri baada ya siku kadhaa she'll get bored na ataanza kukuignore na hapo ndio utapata huo upweke maradufu.

Suluhisho ni kupata mpenzi if not jifunze kuishi mwenyewe.
 
Nazani hata yeye analijua hilo, ila hio ndio tongoza yake.


Mshauri apunguze nyeto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…