Wewe umeokota Malaya...
 
haahaa cafe ya pale chini wanapouza matunda sio jiran na bajaji za kwwenda makoka.
alikuwa anakuja job riverside kwa mama john karibu mjini.
 
Umeokota mnyama machinjioni. Hiyo umegonga treni
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Utu uzima dawaaaaaa. Nyinyi ndio mkiwashika hawa watoto WA tisin na 2000 hawaaachi
 
Ni pale ukimaliza zile sehem za mishkaki kama umetoka posta unaenda sea cliff kuna choo cha kulipia cha manispaa halafu hizo restaurant zinafuata, burger wanauza elf 9, pizza zinaanzia elf 12 mpaka elf 32 kulingana na ukubwa na flavour
[emoji847] poa mkuu

Sent from my TECNO WX3LTE using JamiiForums mobile app
 
Haha

Sent from my TECNO WX3LTE using JamiiForums mobile app
 
Unyama [emoji4]

Sent from my TECNO WX3LTE using JamiiForums mobile app
 
Ulikumbuka kuvaa ndomu?
 
Watu mko deep....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Unapimaje gono na UTI?? Iliwahi kunifuma UTI sugu hamu sina!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…