Haina makombo
 
Wajua nini mkuu, kuna kipindi nilikutsna na kitoto, mwili mkubwa hivi, nikasema ngoja nione...kalivyosema kana 23yrs nikavuta handbrake...
Hahahah
Nakuelewa saana.
 
Mtu unaenda vip kwa demu kufanya usafi aisee. Ndo maana mnapigiwa maana anakuona hauna msimamo. You're just Mr. Nice guy ngoja Ma Alpha wakusaidie majukumu...nyie ndo mnaona kila dalili za demu kutaka mkuyenge ila bado mnauliza Can i kiss u[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Hakuna polee msiba wa kujitakia
 

[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…