Mkuu,
Nakuonya
Usipende ku expose your move..hii Dunia ya technology imerahisisha sana mawasiliano....
Details zako zikitakiwa zinapatikana trust me.

Maana PESA hununua chochote mpaka moyo hata kura kwenye uchaguzi...

NB:
Kama mtu akiamua kukutafuta anakupata easy 😊☺️ then UNAUWAWA
ACHANA NA WAKE ZA WATU HATA WAKIKUPENDA WAO na kama ukishindwa fuata ushaur wa JAY MO & NGWEIR_KIMYA KIMYA japo sio vizuri

Nikutakie mapumziko mema ya mwisho wa week.
 
Simkomeshi mkuu ni vile tu zamu yangu imefika
 
Kumla demu wa mshkaji aliefanikiwa "mwenye V8" huwa ni fantasy za vijana wengi kwa kuwa huwapa sense of superiority flani akilini. Ila uhalisia utabaki palepale, hata umle mkewe, bado haitoondoa gap lenu la kiuchumi na mbaya zaidi, hizo 3 minutes of pleasure zikiisha au mkifumwa, huyo manzi atajiona mjinga kwa kutema big G kwa karanga za kuonjeshwa,

Saa hii upwiru unaongea, ukishaisha, akili itawarudisha kwenye uhalisia wenu
 
Mkuu umeongea kwa hisia kali hadi nimesinyaa hapa nafikiri namtorokaje huyu japo kuwa sio mke wa mtu ni demu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…