Ulivyo kua unamtongoza hukujua kama ni demu wa shost mwenzio....demu amewatosa na vihelehele vyenu amewachapa za uso na umbea wenu...yaani mnavyo kandia demu aniache sijui mnataka niwale nyie
Mbona hata sio mzuri, emolo wako.
 
Mbona hata sio mzuri, emolo wako.
Sasa kwa nn mnamganda aniache awakubalie nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kuchezea banzi huko inbox ndio mmegundua kuwa ni mfupi [emoji16][emoji16]

Kwa hizi tabia mtapiga puli hadi mbaki mifupa shenzi
 
Siwezi kuchukua emolo, akisimama anafika kwenye magoti yangu
 
Kama ni mnyaturu unaweza ukala hata ukoo mzima na wasikumaindi Wala nini.
 
Siwezi kuchukua emolo, akisimama anafika kwenye magoti yangu
Ukinyimwa tunda kubali kiroho safi tu. Angekupa huo ufupi usinge uona. Alafu hii inadhihirisha jinsi gani ulivyo mshamba mtoto wa kiume kuwatoa kasoro wanawake.....real men hatupo hivyo.....

Sad part ni kwamba yeye sio omolo [emoji23][emoji23][emoji23] ukinyimwa tunda nyimika acha kulialia
 
Mzee hili litakusumbua saana trust me. [emoji1787][emoji1787]
Na hii ni sababu ya ujinga wako.
 
Kipara ni jau sana ona sasa ameleta mpaka UKIMWI......Kiparaaaa umeua kwa ukimwi kwa jau zako za kukimbia kimbia na umeme. Yan kipara alivyo na nongwa kaona aruke na Slaa kiulalo ulalo na ubalozi wake. Kipara ni muuaji
 
Una umri gani wewe!!
Mbona kama mvulana ambae unakula ugali wa shikamoo
 
Mzee hili litakusumbua saana trust me. [emoji1787][emoji1787]
Na hii ni sababu ya ujinga wako.
Mwana amecatch sana aisee😀, halafu hata haeleweki anapigania watu wafanye kitu gani anajaza server tu.
 
Ningekuonesha pickup line za hawa vijana ungecheka ufe mkuu . Hawa vijana ni washamba hasa wa zanzibar unguja na pemba maana wengi wanatoka huko na chuga
Weka namba zao humu. wanakucheze akili wamekuona wewe boya
 
Kipara ni jau sana ona sasa ameleta mpaka UKIMWI......Kiparaaaa umeua kwa ukimwi kwa jau zako za kukimbia kimbia na umeme. Yan kipara alivyo na nongwa kaona aruke na Slaa kiulalo ulalo na ubalozi wake. Kipara ni muuaji
Hahahaha
 
Mwana amecatch sana aisee[emoji3], halafu hata haeleweki anapigania watu wafanye kitu gani anajaza server tu.
Sipendi wanaume wenye itikadi za kimbeambea kilicho watuma kuchukua vya huku na kumpelekea ndio hicho ninacho pigana nacho na lazima niwalete humu kwa sasa bado nachakata data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…