Embu pitia post zangu mbili tatu utapata picha unaongea na naniMkuu mbona mm mwenyewe nlichukua namba na nishachakata tena sio maramoja, na dem anakupondea sana tabia zako hizo, ameniambia mshaachana
Kuna watu wa kula ila sio nyie ...mpo desperate sana na mbunye yaani mnapapatika hadi manzi anawaona uchuro. Mbona wenzenu mbunye zinatuata nyie mnakwama wapi.....?
Wewe ndio usahau kabisa yani manzi amechafukwa haswa na namba mpya .....Nipe no yake na mm nimle nipo buhongwa hapa
Tena inavyo onesha wewe ndio wale majamaa wa mavideo call [emoji23][emoji23]punguza uvulana mwamba, be a MAN, aya mambo achia watoto wa kike si kila k2 ni cha kujibu na kupandishia kifua mtandaoni, ukivuliwa nguo chutama kama muungwana.
Tena inavyo onesha wewe ndio wale majamaa wa mavideo call [emoji23][emoji23]
Miles is over everything mzee tena viwatu kama nyie nawapenda kichizi yani hasa mkiingia kwenye 18 zangu.
Mnajifanya hapa mnajielewa kumbe mafala tu ....ila kwenda kusumbua watu ndio uungwana eti eee ....njoo nikufundishe kutongoza achana na mavideo call wanawake hawapendi
Mzee hapa ni kimasihara tu si habari za kuchambana, tunaomba hayo mashindano yako upeleke kule chitchat. Umaku hautakiwi humuTena inavyo onesha wewe ndio wale majamaa wa mavideo call [emoji23][emoji23]
Miles is over everything mzee tena viwatu kama nyie nawapenda kichizi yani hasa mkiingia kwenye 18 zangu.
Mnajifanya hapa mnajielewa kumbe mafala tu ....ila kwenda kusumbua watu ndio uungwana eti eee ....njoo nikufundishe kutongoza achana na mavideo call wanawake hawapendi
Oyaa deny mwenyewe ndio huyo hapo kwenye dp??Tena inavyo onesha wewe ndio wale majamaa wa mavideo call [emoji23][emoji23]
Miles is over everything mzee tena viwatu kama nyie nawapenda kichizi yani hasa mkiingia kwenye 18 zangu.
Mnajifanya hapa mnajielewa kumbe mafala tu ....ila kwenda kusumbua watu ndio uungwana eti eee ....njoo nikufundishe kutongoza achana na mavideo call wanawake hawapendi
Kweli huu uzi umekaa kimasihara, taka usitake demu lazima uliwe.Mimi napendaga kwanza nikute yuko na wateja wengi haswa haswa wakike Naropoka kwa Nguvu Naomba Condom!
Hapo lazima aniulize ipi? Huwa namjibu kwa Kumuuliza ipi ni nzuri. Huwa hawajibu wanaishia kukushangaa na hapo hapo Nachomekea kwa wale walioko pale eti Condom ipi ni nzuri jamani ambayo haina shida nikaitumie. Wataishia kucheka na Mwisho wa siku najua ntafanya Mbinu yeyote nimwachie yeyote namba.
Kama yuko Muhudumu wa kike pekee na ni Pisi huwa namuuliza ipi nzuri. Wengine huwa wanaamua kukuchagulia au mwambie ambayo hata ww huwa unaweza kuitumia na Mtu wako. Halaf chukua Pakiti kama 3 ivi Muulize kiutani Mbona huniandikii matumizi yake, Mwambie wewe hujui kiutani; Ataishia kucheka tu au atakwambia tumia Moja kwa kila Tendo. Mwambie nikishindwa kuzimaliza zote Ntakutafuta niangalie namna ya kuzirejesha au kuzitumia. Niandikie namba zako ili nikitaka maelezo zaidi nikuulize Dokta.
Huko mbeleni namna ya kuja kuzitumia naye sikufundishi mimi nimemaliza[emoji114]
Tatizo uliingiza upepo, ungejiamini tuu hakika ungemla .Ndugu katika Azuma, amani iwe nanyi!
Jana nikajichanganya na hizo confidence za kisenge kwenye duka moja la vipodozi si nikaliomba qhumer limama limoja likubwa, nimetukanwa sana pamoja na kupewa ushauri nirudi katika maadili na misingi ya kitanzania, nimedhalilika sana, i hate, i depise and i take no delight kwa ushauri wenu wa kikumamayo ulionifanya nidhalilike, by the way nipo huku Kigoma kikazi kama kuna mwenyeji wa huku tuchekiane inbox tuonyeshane vijiwe wa Hansons!
Amani isiwe nanyi nyote
Noma sana!View attachment 2722903
ameniambia mwezie atashukia Misungwi, ndio nitahamia kwake.
Nakubar rikiboy upewe maua kwa kuanzisha uziKuna msiba huku kwetu. Wanasafirisha kuelekea mikoani..
Wife kachaguliwa kati ya wanaotakiwa kusindikiza msiba. Thrn kaja kunambia eti anasafiri kusindikiza msiba. Na huko watakaa siku 4. From jana jmos hadi j4..
Nikakumbuka uzi huu wa kula kimasihara.. Nmeona visa humu watu wameliwa kimasihara trip za misibani kama hii.
Kwa hisani ya huu uzi nmemkataza wife kwenda huko... Tutaomboleza hapa hapa
Mambo yasiwe mengi[emoji1]Kuna msiba huku kwetu. Wanasafirisha kuelekea mikoani..
Wife kachaguliwa kati ya wanaotakiwa kusindikiza msiba. Thrn kaja kunambia eti anasafiri kusindikiza msiba. Na huko watakaa siku 4. From jana jmos hadi j4..
Nikakumbuka uzi huu wa kula kimasihara.. Nmeona visa humu watu wameliwa kimasihara trip za misibani kama hii.
Kwa hisani ya huu uzi nmemkataza wife kwenda huko... Tutaomboleza hapa hapa
ππππ aseNdugu katika Azuma, amani iwe nanyi!
Jana nikajichanganya na hizo confidence za kisenge kwenye duka moja la vipodozi si nikaliomba qhumer limama limoja likubwa, nimetukanwa sana pamoja na kupewa ushauri nirudi katika maadili na misingi ya kitanzania, nimedhalilika sana, i hate, i depise and i take no delight kwa ushauri wenu wa kikumamayo ulionifanya nidhalilike, by the way nipo huku Kigoma kikazi kama kuna mwenyeji wa huku tuchekiane inbox tuonyeshane vijiwe wa Hansons!
Amani isiwe nanyi nyote
Kama ni wa mkoani huwezi pajuaπLubumbashi ndio wapi??
Nikishindwa itabidi nikule hata wwWewe ndio usahau kabisa yani manzi amechafukwa haswa na namba mpya .....
Safi sana...ndugu wa karibu saaana watasindikiza!Kuna msiba huku kwetu. Wanasafirisha kuelekea mikoani..
Wife kachaguliwa kati ya wanaotakiwa kusindikiza msiba. Thrn kaja kunambia eti anasafiri kusindikiza msiba. Na huko watakaa siku 4. From jana jmos hadi j4..
Nikakumbuka uzi huu wa kula kimasihara.. Nmeona visa humu watu wameliwa kimasihara trip za misibani kama hii.
Kwa hisani ya huu uzi nmemkataza wife kwenda huko... Tutaomboleza hapa hapa
Manina lete mrejesho umekula mbususu? Na hizi kelele kama isha mashauzi.Embu pitia post zangu mbili tatu utapata picha unaongea na nani
ni kweli kabisaIringa huko nasikia yule mgeni aliyeimbwa na Marehemu captain John Komba kasambaa sana?