Huwa mnatumia lugha gani mnapoenda kununua ndom dukani mbn mm nashindwa wakuu?[emoji848]
Mimi napendaga kwanza nikute yuko na wateja wengi haswa haswa wakike Naropoka kwa Nguvu Naomba Condom!

Hapo lazima aniulize ipi? Huwa namjibu kwa Kumuuliza ipi ni nzuri. Huwa hawajibu wanaishia kukushangaa na hapo hapo Nachomekea kwa wale walioko pale eti Condom ipi ni nzuri jamani ambayo haina shida nikaitumie. Wataishia kucheka na Mwisho wa siku najua ntafanya Mbinu yeyote nimwachie yeyote namba.

Kama yuko Muhudumu wa kike pekee na ni Pisi huwa namuuliza ipi nzuri. Wengine huwa wanaamua kukuchagulia au mwambie ambayo hata ww huwa unaweza kuitumia na Mtu wako. Halaf chukua Pakiti kama 3 ivi Muulize kiutani Mbona huniandikii matumizi yake, Mwambie wewe hujui kiutani; Ataishia kucheka tu au atakwambia tumia Moja kwa kila Tendo. Mwambie nikishindwa kuzimaliza zote Ntakutafuta niangalie namna ya kuzirejesha au kuzitumia. Niandikie namba zako ili nikitaka maelezo zaidi nikuulize Dokta.

Huko mbeleni namna ya kuja kuzitumia naye sikufundishi mimi nimemaliza[emoji114]
 
Nji ina vijana wa hovyo sana hii
 
[emoji38][emoji38][emoji38] za uso
 
Oyaaaa[emoji1430][emoji38][emoji38]
 
Vipi mlifanikiwa au mliambulia block ....? [emoji23][emoji23] vijana wa humu ni wapweke sana so mkaona mmenikomoa wenyewe...? Kumbe ndio mmeimarisha bond
Sijui Mzee wewe ndo unajua na hao vijana na huyo rafiki yako sisi wengine tunatazama tuu.
 
Sijui Mzee wewe ndo unajua na hao vijana na huyo rafiki yako sisi wengine tunatazama tuu.
Picha ikaanza siku ya kwanza vijana kama 70 hivi walimtafuta. Mtoto wa watu alistuka sana.

Picha ikachomwa na madomo zege wawili kwa kunikandia na kumpa kila kitu kinacho endelea huku kwa screenshots kila kitu. Kwa kuwa mrembo alikua anataka kujua nn kinaendelea akawakubalia na kujibebisha Kidogo tu aisee haya madomo zege yakaanza hadi kuhonga yakijua yamepata bebe [emoji23][emoji23][emoji23]

Mtoto wa kike akanitafuta nikampanga akapangika tukayaweka sawa yakaisha ikabaki kuwageuza watu wa jf vituko huku tukichekaa sana.

Kuna hadi kifanyakazi cha voda kimoja kika truck number na kuanza kumu updates sehemu anazo pita binti alipagawa kidogo na mimi nikaingia mitamboni nikakiona na kukijua kikala block kifie mbali na upwilu wake.

Siku ilio fata ndio ulikua mtihani mkubwa maana uzi ulihamishiwa kwenye kula tunda kimasihala hapa sasa watu zaidi ya Mia 4 walimtafia binti...binti alistuka zaidi na kutaka kwenda police ..............itaendelea
 
😒
 
we jamaa mambo ya sekondari yaache sekondari.
 
Manina
 
Kumbe mjomba sio mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…