Ndugu katika Azuma, amani iwe nanyi!
Jana nikajichanganya na hizo confidence za kisenge kwenye duka moja la vipodozi si nikaliomba qhumer limama limoja likubwa, nimetukanwa sana pamoja na kupewa ushauri nirudi katika maadili na misingi ya kitanzania, nimedhalilika sana, i hate, i depise and i take no delight kwa ushauri wenu wa kikumamayo ulionifanya nidhalilike, by the way nipo huku Kigoma kikazi kama kuna mwenyeji wa huku tuchekiane inbox tuonyeshane vijiwe wa Hansons!
Amani isiwe nanyi nyote
 
[emoji23] mkuu usikate tamaa
 
Chai
 
Bongo muvi
 
Watu wa jf mna maisha magumu yaliyo jaa gundu sana ndio maana kila kitu kizuri kwenu kinatatizo......na upwuru wenu shenzi nyie
utani tu chief na kama umeshindwa kung'amua jambo kama hili...(your sense of humor) ipo chini sana..
nilikua nakutania ila ngja niwe serious sasaa yan mm niwe na chuki na ww kisa ww kufanya uzinzi are you serious bro?
ninakaribia miaka 30 na sijawah mchukia mtu despite ya wao kunitendea ubaya na kunisengenya..sasa iweje niwe na wivu na mtu ambaye simjui
jifunze kua na hekima kijana.
 
Leo tarehe 19/8, saa 9:21 Usiku nimefika mwisho wa uzi wa Kula Tunda Kimasihara rasmi....Sasa ni muda muafaka namm nianze kutumia mbinu kutafuta kimasihara zang nikianza na binamu..
Me au Ke?
 
We utakuwa ulitanguliza utoto mwingi 😂
 
Akili za kuambiwa....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…