Aisee
 
kama wewe ni kidume na unaandika TAKUJA mwendo umeumaliza. Ahsante.
 
Mkuu umemtia vidole af ukavaa condom unajitapa uko salama, kucha na ngozi huwa zina makov mda wote hivo wahi kula PEP

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu nina majonzi;
Crush wangu leo kavishwa pete ya uchumba na mwanaume wake.... nimehuzunika sana. Nifanyeje? Au nimpigie mpenzi wangu nimwombe ushauri?
Crush wako anaitwa nani sababu hata mm X wangu niliekua nampenda Sana kavishwa Pete nae Jina linaanza na M
 
Sema mm wa hivi sienjoiiiii
Yaaan aliyenizungusha na akaniblock halaf akaja kunitafuta mwenyewe ni HAPANA.
nakuwa nishakata mzuka nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…