Vibinti vinaliwa sana siku hizi
 
Mbona shule kibao za serikali vyoo na bafu vipo humohumo mabwenini???
Au shule kubwa kubwa tu ndo meona hyo[emoji3][emoji3]??
Lyamungo
Umbwe
Moshi technical
Old Moshi
[emoji1787][emoji1787]old moshi vyoo viko nje acha kamba
 
Hii mbinu ya matangazo huwa wanasema inalipa sana. Unaweza pata watu wengi tu kwa style hii. ID yako ya Kiume unatumia jina gani mpaka ukaamua kuanzisha ya kike?
 
Hii mbinu ya matangazo huwa wanasema inalipa sana. Unaweza pata watu wengi tu kwa style hii. ID yako ya Kiume unatumia jina gani mpaka ukaamua kuanzisha ya kike?
Sikia nikwambie sina shida ndgo ndgo wala kutaka attention ya watu nimeamua nishare story yang baada ya kusoma za wengine.
Wengi wanataka niendelee hvy ngoja niwape ubuyu
 
Sikia nikwambie sina shida ndgo ndgo wala kutaka attention ya watu nimeamua nishare story yang baada ya kusoma za wengine.
Wengi wanataka niendelee hvy ngoja niwape ubuyu

Endelea kipenzi brina_...tupo kina siye tunaosoma na ku enjoy iwe kweli au si kweli muhimu ina make sense...

Kuna mifano mingi tu ambayo HGs wamekulana na baba wenye nyumba, wapo waliozaa nao na wapo walioolewa mke wa pili n.k
 
Huyo D alivokukula siyo kimasihara, hiyo ilipangwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…