Fala WA kwanza ni wewe unayejiita mwanaume mwenye ndevu imekubali kuolewa wewe na Dada Yako.

Yaani bila aibu eti Nikaenda jikoni moja Kwa moja kwenda kula MSOSI WA mwanaume mwenzio!!

Njoo uishi kwangu ule Bure na unye Bure ,Utakuwa unafulia boxsa zangu na kunipasia malipo maelewano
 
wewe pumbavu kweli utatimuliwa wewe na dada yako! Yaani kwa umri huo unakaa kwa dada yako halafu unadiriki kujipambanua unataka kugegedua beki tatu? Lahaula...!! Hivi nani mwenye nyumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…