Aseeeeee wewe ni mama jasiri hukuwa na hiyana kumtunuku Dr john, subiri uteuzi anakufikiria akuweke kitengo gani kwa raha ulizompa.
 
Aisee hi sijui ingebumbuluka sijui ingekuwaje mkuu. Ingekuwa balaa ziiiittto kabisa hil[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uongo wa millennia huu[emoji125][emoji125][emoji125]
 
It makes sense kwa hili uloliandika.. naogopa fidodido akipita hapa akaona.
Talaka ya dec naogopa
Fidodido mwambie tulia mama.Nachangamsha genge tu.Hata yeye yuko na stori zake za another side zinaweza kua hatari kuliko zako.Uzuri awezi sema..
 
Hahah mkuu hapa unatuambia una bahat kinoma unatongozwaga tu hujui hata kutongoza halafu kule kwenye Uzi mwingine unatuambiaga unawawashia kikoroboi unachana ulimi huku umepaka mafuta ya simba ili uwateke akili....tuamin lipi sasa
Don't take serious mkuu....soma acha hapo hapo uwez amini kila unachosoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…