Nilisha fanya yote hayo, anapokea anasema asante alafu ana nirudishia ananiambia umenipa nimepokea na mimi na kupa nenda katumie au kaweke zitakusaidia baadae ukikataa anaziweka hata chini mkuu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ngoja nisikilize NGOMA za Farid kubanda ntarud baadae kukoment.........
 
Mvizie jioni afu mbake
Imeisha hiyo.
Hapana mkuu , kwa nilivyo msoma ndiye mwanamke ninae mtaka ana sifa zote za kua mke ila ukauzu wake tuu ndiyo kizingiti yani napiga gear lakini hachanganyi kabisa mgumu kweli kweli. kumbaka naona itanishusha hadhi ya kuwa mume wake labda akikubali atoe mwenyewe

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Rudi kwenye uzi wetu pendwa wa kula kimasihara soma visa vyote page ya Kwanza Mpk page ya mwisho...
Tyr utakua umeopata Maarifa ya kutosha
 
Alifahamu labda unamuigizia
 
Atakuwa hajakuelewa tu hamna mwanamke kauzu pindi akipenda
 
Hapa next door kuna mdada ni jiran angu…

Sasa ana dada yake anakujaga mara kwa mara namuona…

Huwa akija kila nikitoka na yeye namuona anatoka kijifanya anaosha osha hata vyombo au kudeki…

Leo nimetoka kusuuza vi glass na yeye akaja sehem ya kuoshea nilivyomaliza nikaondoka akaendelea kuosha…

Nikarud zangu ndani…Baada ya muda na yeye akarudi akaacha mlango wazi nikaona huu mtego huu nkajiongeza nikamgongea nikamwambia naomba tukae wote tupige stori akasema fresh nikazama!….

Nilivyoingia akawa anahema kwa shida mpaka nkawa namsikia… Hapo nilikuwa nimekaa kwenye kochi yeye kitandani…

Tukaongea ongea kidogo nkamwambia basi naomba nkuache ili akubali af nimwombe hug nianze harakati😉… Akasema mbona mapema hivyo kaa kaa kidogo nikarud kukaa…

Baada ya muda nikamuomba nikakae nae kitandani akakubali.. Nlivyoenda tukakaa kweli tukaongea ongea baada ya km dk 5 hivi nikaanza toches akasema nisimshike na hapo hapo sim ikaingia…

Akawa anaongea na shoga ake stori zenyew za kudiss wanaume malaya🤣🤣… Kwenye maongezi inaonekana kuna mla masihara😂😂kamtongoza huyo shoga af shoga ake kaolewa…

Aisee joto la mwili lilipanda ghafla😥af ukizingatia mdogo wake tunaheshimiana sana wakuu..

Nimesingizia joto nimerud chumban kwangu😔.. Sitoki mpaka kesho asubuh af nawah kazini mapema sana nimechoma kambi😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…