Jamani nipeni mbinu za kula kimasikhara lose ball. Kuna kademu hapa hotel nilifikia kikazi naona kama kamesafirishwa na bwana wake sasa siku nzima kapo kapo tuu na mie nataka nikakule ila sema mie domo zege, nisaidieni jamani.
Pesa tu mzee [emoji1787]tenga fungu
 
Hahahaaa we bwana una maua yako hapa chato njoo uchukue
 
Wee hutakufa? Kila kifo kina sababu, ukimwi nao ni sababu moja wapo
Mi nitakufa pia ila siwezi kushabikia kitu kinachotesa ndugu na jamaa mtaani wakati naona Kuna uwezekano wa kukiepuka, pia mkuu ukimwi ni tishio unatesa sana
 
Kwamb unatak kusema walaj wa kimasihara wagonjwa
Hapana mkuu lakini kula kimasihara unaweza sababisha kueneza ukimwi kwa sababu wapo miongoni mwao watakuwa nao ila wengine hawana pia suala la matumizi ya condom hamna. So inakuwa afadhali ukipata mtu muaminifu pima ndio mfanye mapenzi na pia chagua kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu
 
Asa mbn kama huu Uzi hauhitaj watu aina yako na unalijua Hilo hahahha c unsubscribe tu mzeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…