NAMNA NILIVYOLILA LIDEMU LA BIRTHDAY PARTY NA BADAE NIKAGUNDUA KUWA LINA UKIMWI
Nilikuwa Eneo langu la kazi ambalo liko maelfu ya kilometa kutoka home kwa familia.
Mahali ambapo kampuni ilipangia nyumba ilikuwa karibu na senta 1 hivi iliyochangamka na kuwa na bar kadhaa.
Kuna siku 1 nakumbuka ilikuwa siku ya jumamosi jioni baada ya kutoka job niliamua siku hiyo nikatulie bar huku napiga kinywaji aina ya castle lager huku mziki taratibu unapiga na kufanya moyo wangu kuwa taradadi.
Nilipiga vyombo Kuanzia saa 2 usiku mpka saa 5 hivi, Njaa ikakolea nikaagiza soseji 4 na chipsi ili nipooze tumbo, Wakati nakulakula ghafla wakaingia mademu kama 4 hivi kukaa meza ya pembeni wakionekana kutoka kiwanja kingine na kuja pale(mana walikuwa wameshawaka na pombe) kukaa hata nusu saa haijafika baada ya kuagiza vinywaji wakaanza kucheza na kushikanashikana hovyohovyo wao kwa wao.
Kidume nimetulia tu na sikuwa na mpango wa kubebana na mwanamke.Lakini katika grupu lile kuna demu mmoja alikuwa anacheza vizuri aisee fulu kukatika halafu kiuno kina cheniya rangi ya dhahabu, maneenah aiseee nilidinda mnooo.
Nikaamua kumuita muhudumu kuwa aniitie huyo dada na alipoitwa dada hakuwa na noma akasogea na nikamsailimia na kumuombe ajiunge na mimi mezani alikataa nakunambia ni birthday ya rafiki yao mmoja na isingeonekana vzri kama akiwakataa kimtindo hao rafiki zake.
Basi nikamwambia kuwa sina mida mrefu naondoka hapa kwahyo ntakustua tuongee vzri nje then utaendelea na rafiki zako(Nilitaka kuchukua namba tu then nisepe nije nimtafute siku ingine),Demu akaitikia poa, wakati anarudi mezani kwao nikamuita mhudumu tena na kumwambia awaongezee kila mtu aina ya bia anayokunywa mezani round nne nne kila mtu kwa wale mademu wote.
FAST FORWARD
Wakati naondoka nikamstua yule mrembo kuwa natangulia kwahyo aje nje mara moja niongee naye, Demu akaja nikamuuliza jina tukapigw stori 2,3 ila ghafla likanijia wazo kumuuliza Aje home anisindikize mana nakaa nyuma tu mita 100 kutoka bar ilipo, Na kweli demu akaniambia twende ila siingii ndani.
(NISISAHAU KUWA HUYU MANZI ALIKUWA KALEWA)
Tumefika home nikafungua mlango anataka kuishia nje nikamwambia njoo hata utoe baraka halafu utoke,ile ameingia ndani nikaanza kumshikashika nyonya sana mate mazee ila kumshika qyuma akagoma kumvua akagoma, nikamwambia Naomba japo kidgo tu ili nijipooze mana nina miezi 6 sijanyandua(wakati jana yake tu nimetoka kunyandua).
“Ina maana unaniona mimi malaya”aliniuuliza nikamjibu hapana ila unanisaidia tu kwahilo mrembo, akainuka akavua chupi mana alikuwa kavaa kigauni akajilaza kitandani kigauni kikiwa kimebetuliwa juu
NILISHANGAA KIASI ALIVYOVUAVUA CHAPU CHAPU KUMBE ANAJUA MOYONI KUWA ANA UKIMWI ILA ALITAKA KUNIAMBUKIZA MAKUSUDI TU.
(NASHUKURU NILIKUMBUKA KONDOMU)nikavaa nikachomeka mrungu nikapiga trako 15 wazungu hao akavaa chupi akainuka nikamsindikiza mpka bar ilipo nikarudi kulala
BAADA YA SIKU 2,3 NASIKIA FUNUNU KUWA BOYFRIEND WA YULE DEMU ALIKUFA KWA UKIMWI NA MANZI ANAO UKIMWI ULE WA 4G NA ANAUSAMBAZA MAENEO MBALIMBALI.
Nilistuka sanaaaaaa wazeee, mimi hilo eneo nilikuwa mgeni na sikuwa nawafahamu watu kiasi hicho ila nilinywea mboro na kende kwa wiki nzima nawaza, bahat nzuri nilitumia kondomu kwenye kuichapa na sikutaka kuichapa sana ila yeye alitaka niendeleee tena bila kondomu ila kutokana na hali yangu( niseme baada ya kupiga kimoja sikuwa na hamu naye tena) kumbe Ni Nafsi tu ilikataaa
MWISHO:
Iwe masihara au isiwe ukimwi upo wazee tujitahidi kuwa na zana za kazi home kwetu,kwenye gari hata wallet kama unaenda miadi muhimu.
NA UKIONA NAFSI IMEKATAAA USIFOSI U NVER KNOW